Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mtarimbo wa Zitto bado umewaganda MaCCM.

Hatutoki kwenye reli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ujinga wewe mtu[emoji23][emoji23][emoji23] kwa pesa ipi akaita madactari waje kumuhudumia !


Sent from my iPhone using JamiiForums
Inabidi nicheke tu badala ya kukasirika kwa lugha zako zisizo na chembe ya werevu na busara.
Unadhani kuita daktari nchini toka Marekani au Ulaya ni dola ngapi?

Ngoja nikusaidie kuona mbali wewe mjuaji,
Makonda kwa nafasi yake na kama anapata baraka ya afanyayo toka juu ana uwezo wa kutumia fedha zako (kodi za wananchi) kualika madaktari bingwa toka nje kwa kisingizio cha kuja kusaidia wananchi maskini wenye matatizo sugu ya kiafya kama mfano wa ile meli ya kichina aliyo alika, humo ndani ya msafara wanakuja madaktari bingwa na vifaa kamili ndani ya meli yenye hadhi ya hospital ya rufaa ya nchi zilizo endelea wanakuja kumtibu yeye.
Wanazuga kutibu wanyonge na vipanado toka kwa mabeberu kwisha kazi.

Kwa kukusaidia tu huko Marekani na Uingereza wamejaa madaktari bingwa ambao very rogue, wao pesa tu, wengine wahindi, waarabu, warusi na waamerika ya kusini ambao ni maarufu Marekani wanakofanyia kazi zao.

Money can buy anything, anyone provided reasonable price is reached.
Kila mtu na kila kitu kuna bei yake ya kununuliwa kiasi kikifikia biashara inafanyika tu.
Hakuna namna.
Go figure my friend!
 
Wangetufanyia kama yale ya Iran kwa Kassem Soleimani ingekuwa poa sana maana wanajidai na akina Deus kisanduku tuone kama watachomoka .

Haiwezekani ndani ya mkoa wako watu wanaokotwa wamekufa makumi kwa mamia, watu wanatekwa na kuteswa na unakaa kimya kama hakuna kilichotokea. Huu ni uvunjifu wa haki za binaadamu na kukosesha watu amani na uhuru wa kiwamgo cha juu kabisa.
 
Nyaulingo katoa siri unyama wao wote aliokuwa akitumwa na Bashite ikiwemo ya marehemu Ruge mutahaba na wengineo wengi
 
Jf muwe mnaverify Brekingnews vingenevyo mnazua mtafuruku tuu kila mtu aje na ne breking yake si kuvurugana jamani? Yaani breaking news hata hamthibitishi?
Si kwamba unaota , hii ndio hali halisi .
 
Sio mkuu wa mkoa pekee bali ni pamoja na mkuu wa kaya ila kwa sasa wanamlia timing ili aburuzwe moja kwa moja kule the Hague.

Ameua watu wengi wasio na hatia pamoja na kubambikia watu kesi za utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.

Ni lazima akakutane na dhalimu mwenzie, Bosco Ntaganda kwenye selo za ICC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeh
 
Ndugai inabidi awe makini sana. Kwanza akiuruhusu mjadala halafu awaachie wakina msukuma kuropoka ujinga wao bila kuwacontrol basi ataonekana ni sehemu yao hata kama asipozungumza chochote. Kama ana busara atazuia hoja mara itakapopendekezwa. Nadhani hata No.1 atamuelekeza hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo ndio linalofuata
 
Hao wamezuiwa kuingia Marekani kwa kushiriki biashara ya madawa ya kulevya. Nao pia unaona ni watu wazuri?
Nashukuru kwa kunisaidia kumjibu, kitu kinacho nikera kwa baadhi ya watanzania ni kutetea kila aina ya ujinga , hapa kwenye akili na wanaojua global politics, makonda kupigwa ban , secretary of state wa nchi kubwa kama marekani Ku tweet kuhusu makonda ujue kuna jambo kubwa zaidi ya kumzuia makonda kuingia marekani. Makonda ameteuliwa tu. Ila Sababu baadhi ya mamtu ni wajinga and have little understanding of global politics, diplomacy and power play watakuwa kutetea kila ujinga, tutapigwa vikwazo hapa vya kiuchumi hapa hata kukuza shamba itakuwa kazi. Kwenye akili kaeni standby, unaweza fumba na kufumbua we are in a worse situation than Zimbabwe, sababu hawa wakubwa wetu ni wazalendo sana kiasi kwamba wanaamini uzalendo wao utashindana na taifa LA marekani, very politically naive. Fuatilia tu comments utaona hili suala watakavyo ligeuza liwe LA kizalendo, wote watakao changia kutoka serikali ichukuwe hatua wataambiwa ni mawakala wa mabeberu!
 
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mimi sielewi watanzania, nashauri nyimbo za kushambulia mabeberu zianze kutungwa na kuimbwa kila mahali ili uzalendo urudi
 
Hii kitu ni mbaya. Tuhuma dhidi ya huyo jamaa Bashite kama kiongozi ni tuhuma dhidi ya UONGOZI unaomkubali na kumwacha abakie madarakani. Ni kama ujumbe wa sampuli hii .... "tumethibitisha madudu yenu" na ACHENI!

Kuna mtu karudia mara kadhaa ati ukomo wa awamu hii ni 2020. Conspiracy theorists tunaunganisha dots na picha inayoanza kuonekana ni chafu mno. Wabobezi wa counterintelligence mpo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…