Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Na Kabudi anakwambia atahakikisha anapambana kuiondolea Zimbabwe Vikwazo.
dodge
 
Kaka wataka utuue tunaoishi kwa msaada wa Marekani.
 
Mbona wanajua hata siku yako ya mwanzo kuzinduliwa.
 
hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.

Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Ww kuna bebelu na beberu ww ulipigwa ban na kina nani !?
 
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi

Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba Tanzania ina interest kubwa na ushoga Tanzania? Hebu acha mawazo potofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…