Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Na leo pia kumbuka ubalozi wa US hapo Dar umetoa Press kuhusu uchaguzi wa Tz 2020.,timing imekua si ya mchezo mchezo.
dodge
 
Mjiandae kutenga hela za kununua ARV za wagonjwa 2m plus kwenye budget ijayo amasivyo mtatangaza janga la kitaifa waiteni mabeberu tu
 
Wameshaweka hadharani mkuu.Kwa kifupi jamaa ni muuaji.View attachment 1342696

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Dodoma zilikwenda Gari mbili zikiongozwa na Daud Bashite kwenye shambulio la Tundu lisu, CIA na FBI waliopo hako ubalozi wa marekani walichunguza kimya kimya wakatoa taarifa zote ikiwemo uovu wote wa Daud Bashite na vikundi vyake
 
Tanzania tulikua na bahati kubwa kuongozwa kwa miaka 20 mfurulizo na maraisa wawili (BWM na JK) ambao ni wanadiplomasia. Nyota yetu ling'aa sana duniani na tuliheshimika mno. Sasa ndani ya miaka mitano ya uongozi wa kimabavu heshima hiyo imepotea na kwa mara ya kwanza kiongozi wa tanzania anapigwa travel ban hadharani.

Tena mbaya zaidi wiki ijayo kenya itakua kwenye headlines kama nchi ya kwanza africa kuanza mazungumzo ya mkataba wa kiuchumi (trade agreement) na marekani huku tanzania ikiwa kwenye headlines kama nchi ambayo imekiuka haki za binadamu mpaka viongozi wanaanza kuzuiliwa kuingia US. Kuna wakati usingefikiri Tanzania ingefika hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Titicomb kichwa chako kibakie kufugia nywele tu, kwa hoja hizo ulizoandika hapo, hata bata maji anakuzidi ubongo.
Upo sahihi kabisa kwa uwezo wako wa juu.
Haya lete hoja zako tujifunze kitu.
Anza kupangua hoja zangu moja baada ya nyingine ukosoe nini hakiwezekani na kwanini.

Nakaribisha kukosolewa nijifunze toka kwako na kwa yeyote.
 
Dodoma zilikwenda Gari mbili zikiongozwa na Daud Bashite kwenye shambulio la Tundu lisu, CIA na FBI waliopo hako ubalozi wa marekani walichunguza kimya kimya wakatoa taarifa zote ikiwemo uovu wote wa Daud Bashite na vikundi vyake
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Yaani huyu Pompeo sijuhi alikula maharage ya wapi tu..
Unamzuia Makonda alafu unamuacha JPM..??
kweli wapi na wapi??
 
Shoga naona umefurahi sana ili uendelee na ushoga wako!
Tokea uanze ushoga hapo kwa cyprian Musiba umekariri neno ushoga mpaka siku Le mutuz atakupa ujauzito ndipo utaacha kukariri ujinga pasipo kutafakari kwanza
 
Wamuiche Palamagamba "disappeared and died" Kabudi kuongoza response ya serikali kwenye hii kitu? Aisee tunaweza kuambulia vikwazo vya kiuchumi kabisa. Mahiga yule ni diplomat..hata wakati ule ile ishu ya the ushoga ilivyovuma yeye ndio alikua waziri wa mambo ya nje akatuliza dhoruba. Huyu wa sasa sio kabisa aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amka wewe acha kuota saa hizi. Unalalaje unajisahau unaota mandoto ya hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitulia na utafakari utanielewa, huu ndio wakati wa Waafrika kuwa kimoja, raslimali zetu zimeliwa tangu enzi za mababu, sisi wajukuu tuungane nyuma ya Magufuli na kuhakikisha tumekata mirija yote. Wajukuu wa mabeberu wanatupiga mabao kwa sababu za migawanyiko yetu ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…