mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Na leo pia kumbuka ubalozi wa US hapo Dar umetoa Press kuhusu uchaguzi wa Tz 2020.,timing imekua si ya mchezo mchezo.
dodge
P,
Yaani nafikiri watu wengi bado hamjui hawa jamaa wa US sisi tumeishi hapa tunajua A-Z kuhusu hawa jamaa. Hii ni message kwa Serikali yetu ya Magufuli na sio Makonda kibinafsi kama mnavyofikiria. Urusi wakati wanaweka vikwazo waliwawekea marafiki wa Putin na familia zao. Ukisema Magu aanze kushindana na hawa list itaongezeka na hakuna hata kimoja kitakuwa kimesaidia taifa. Inabidi nchi iangalie manufaa mapana ya nchi na sio kibinafsi. Inabidi tuwe waangalifu pamoja na barua nyingi ambazo Watanzania wameandika kuna habari wamepata kwa vyama vya haki vingi sana. Kama wangejua Watanzania ndiyo tulivyo wala wasingeandika barua lakini wanajua ni watu wachache wenye uchu wa madaraka . Hivyo ushauri wangu ni Makonda kustaafu kwa manufaa ya umma na kama sio ajibu barua aeleze kama si kweli kwa facts.
dodge