Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kwani Marekani tu hata UK amd followed by EU! Na hao basi waite washenzi!
 
Hahhaaa nimefurahi sana leo. Anajiita mbabe wa vita ngoja tuone kama Polepole na Bashiru watamsaidia
 
Endelea kuota.
 
Lissu hakwenda kuuza sura marekani, majibu ya ziara yake yanatoka mwaka huu kimkakati.
Kazi ya Lissu imeanza kuzaaa matunda vyema kwa wakati mwafaka. Uzuri wamarekani hawakurupuki na wala hawamwonei mtu. Waliyoelezwa na Lissu waliyafanyia uchunguzi wa kina.
 
Unapewa silaha za kuspy mwenendo wa jeshi
Wakati Israel wanatupatia vifaa vya kuwachunguza wananchi wetu tulifurahi sana kwamba sasa miwananchi itatukoma, Bashite na company yake akatamba navyo sana.
Ambacho hatukukijua ni kwamba, wakati tunawa spy raia wetu kwa kutumia technolojia ile kumbe technolojia nayo inatuchunguza sisi na kupeleka taarifa na mienendo yetu inapotakiwa. Kumbi US na Israel lai ni moja.
Kitendo cha Bashite kutajwa kuna watu wameshikwa ghafla na tumbo la kuharisha huko mida hii, maana wanajua Bashite kaguswa kimkakati ila technically na wao tayari wamo.
 
Watanzania saiv watakao pata visa wachache Sana. Watu wengi wakienda kuomba watakosa bila sababu za msingi. Hapo hawajaiweka ivo but in reality itakuwa ivo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale Jamaa hatari wanajua mpaka rangi za vyupi vya bashite,mpaka size za hivyo vyupi
Akikaidi drone itamkuta mahali popote tayari hadi DNA yake wanayo ni kuconnect tu drone hata ajifiche wapi itamtifua kama nuclear.
 
Pale jina la “ Daudi Bashite” linapoonekana linafaa sasa hivi anatamani aseme mimi sio Paul makonda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Marekani hawajai kumuacha mtu salama
 
Kazi ya Lissu imeanza kuzaaa matunda vyema kwa wakati mwafaka. Uzuri wamarekani hawakurupuki na wala hawamwonei mtu. Waliyoelezwa na Lissu waliyafanyia uchunguzi wa kina.
Lissu ameshakuwa mtu wao, bila shaka atakapokuja kugombea CIA weusi watakuja kumlinda.
Lengo la marekani kumchafua makonda ni kuhakikisha Lissu atakaporudi kugombea hapatakuwa na kikundi cha kutishia uhai wake.
 
Sasa pamoja na maajabu hayo, nani alimwambia kuwa ili maajabu yatokee ni lazima awafanye watu kuwa watumwa wake!!?
Nani amefanywa kuwa mtumwa wake? Na utumwa wa kivipi? Naomba nifafanulie.

Wewe kama umetumwa kuleta vurugu katika hii nchi usifikiri wewe na familia yako mtakuwa salama. Utakuwa wa kwanza kuzikwa au kujeruhiwa. Shauri lako.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…