Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Walisoma whatsapp za Makonda wakatbua kuw yeye ndio alimuua Ben saanane. Aliratibu Lisu kupigwa shaba na ni mwizi
 
Icc longo longo nyingi Drone moja tu inatosha. Siku hizi wmarekana wakimtaka mtu hawana haja ya kufata fata nyuma kama wale jamaa wa Noah nyeusi. Wanatuma tu uchawi wao wa Drone.
Le mutuz sasa anakula pesa zao kwa kisingizio kuwa yeye atawaletea ndumba za kuidondosha drone kabla haijafika kwa mhusika
 
Department of state, USA imemzuia Makonda na familia yake kuingia nchini humo kwa kile kinachoaminiwa kuwa amekuwa kikwazo cha haki za binadamu. Aidha imeelezwa kuwa idara hiyo ina ushahidi wa kuridhisha na ndio imeamua kutoa maamuzi hayo jana Tarehe 31, January.
 
mxiewwwwweeeeeeeww hata sikutaka kucomment kwenye huu ushuzi wako imenifanya nikujibu yaaan off all reasons attached hapo umeonaa wamezungumziaa ushogaa yaan watu wengine bwana hivi unamjuaa huyo aliyetoaa report/barua/onyo ni nani?? unajuaa alikuwa nani before hajawa na hiyo nafasi aliyonayo sasa?au unadhan marekani wanaongozwa kwa mihemko kama sisi wabongo?watu wamesha kaa chini na kufuatilia thats why wakaja na sababu zinazoeleweka ila mabonngo zozo kama ww ndo mmenangania ushogaa kwani whts wrong with ushoga kama mtu anakubali kuliwa mwenyewe na anaenjoy??!nani anakupa jeuri ya kuingilia uhuru wa mtu??yaan dudu apigwe mwingine ww uumiee kweli??hebu fanyeni kazi bwnaa na kujifanya unajua kila kitu kama huna kazi natafuta house boy wa kunifuliaa vyupi vyangu ....
 
Wapo watanzania ambao ni CIA wamesomeshwa na America kisha wakapenyezwa kwenye system wapo kila idara wanatoa taarifa zote
 
Poor you.. [emoji6]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mali zao huko zitazuiliwa. Mambo yalishatulia akamteka kabendera.
 
Haki za binadamu ni pamoja na utekaji upotevu upigaji risasi na unyama wote alioshiriki sasa wamemgundua
 
MASKINI MLETA UZI UNA KURUPUKA BILA KUJUA WHAT'S GOING ON.

NI HIVI HUU UTAWALA WA MAGUFURI MATUKIO YA KUUA RAIA,KUTEKA NA KUSHA MBULIA MTU YOYOTE ALIYE NA MAWAZO TOFAUTI NA MAGUFURI NDIO CHANZO CHA MAMBO YOTE. AMA KWELI USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZZ
 
Haki za binadamu ni pamoja na utekaji upotevu upigaji risasi na unyama wote alioshiriki sasa wamemgundua

Sahihi kabisa Mkuu, ule uliokuwa unaitwa uvumi kuwa kuna kikundi maalum kinafanya mambo mengi ya kukiuka haki za msingi za waTanzania sasa kimeanikwa peupe na Marekani wametuma ujumbe kuwa wanafahamu kila kitu.
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…