Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hii inaonyesha ni jinsi gani RAIA wengi hawamkibali RC makonda , inatakiwa tu ajitafakari kwa hili, ishu nahisi sio ushoga tu kutakua na mambo mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri anaechukiwa hasa ni Makonda?
Hapo anatafutwa kila mtu anae onekana kuwa karibu sana na kiongozi wa Makonda.

Unaona jinsi Kigwangala. Kabudi, Makonda na wengine ambao watumishi wanao onekana kukumbatiwa kwa sifa na majukumu makubwa na boss kuu wanavyo chukiwa sana na kupigwa vita kwa matusi mitandaoni?

Anatafutwa boss kubwa.
 
Sahihi kabisa Mkuu, ule uliokuwa unaitwa uvumi kuwa kuna kikundi maalum kinafanya mambo mengi ya kukiuka haki za msingi za waTanzania sasa kimeanikwa peupe na Marekani wametuma ujumbe kuwa wanafahamu kila kitu.
Wapambe wa Daud Bashite akina Cyprian Musiba na Le mutuz hawana siri wakilewa Bar huanika kila kitu, marekani hata ikiwatuma wapelelezi wanafunzi wa chekechea wawahoji hao watu wawili watapata taarifa muhimu juu ya unyama wote wa Daud Bashite
 
Unclock in and out $8 kwa saa Hongera sana, rudi nyumbani kumenoga sana
 
wewe umejuaje kuwa sababu ilikiwa ni ushoga?
au niseme mnatafuta kichaka cha kujifichia
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Walisoma whatsapp za Makonda wakatbua kuw yeye ndio alimuua Ben saanane. Aliratibu Lisu kupigwa shaba na ni mwizi
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Namuomba Mungu akupige laana wewe na kizazi chako chote
 
wewe umejuaje kuwa sababu ilikiwa ni ushoga?
au niseme mnatafuta kichaka cha kujifichia
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Namuomba Mungu akupige laana wewe na kizazi chako chote
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
kwani akizuiwa asifike U.S.A ndo umezuiliwa ww, mm au rais?
ni kwamba amezuiliwa yeye sisi haituhusu, apambane na hali yake bipa kusahau kujitathimini.
 
porojo...takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…