Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Wapambe wa Daud Bashite akina Cyprian Musiba na Le mutuz hawana siri wakilewa Bar huanika kila kitu, marekani hata ikiwatuma wapelelezi wanafunzi wa chekechea wawahoji hao watu wawili watapata taarifa muhimu juu ya unyama wote wa Daud Bashite

Ngoja tuangalie kwa undani tafsiri pana, je kulengwa kwa Paul Makonda na vikwazo ikiwemo kutosafiri kwenda USA, mali zake au account benki kuzuiwa pengine akitoka nje ya nchi ya Tanzania kuna uwezekano wa kutiwa mbaroni na kupelekwa kujibu mashtaka ya kuvunja haki za binadamu na k.n .

Ngoja tutumbukie ktk internet tupate maana pana ya vikwazo hivi kwa mkuu wa mkoa.

Maana media za Tanzania zitaishia na ushoga na kusahau utekaji, kuzuia demokrasia, meya wa Dar es Salaam kufanyiwa ndivyo sivyo na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anaangalia na kubariki uvunjifu wa haki, sheria n.k

Secretary Pompeo
@SecPompeo

Today we designated Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Christian Makonda as ineligible to enter the U.S. for his involvement in gross violations of #humanrights. We are deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in #Tanzania.
January 31, 2020
 
Acha kuvuta Bangi ghetto kwa cyprian Musiba na kukariri ujinga wake wa kung’ang’ania neno Ushoga kana kwamba watanzania ni wajinga zaidi yake, human rights haki za binadamu ndicho kigezo cha kumkataa Daud Bashite acheni kusingizia ushoga, kwani ushoga na Tundu lisu kupigwa risasi vina uhusiano gani? Kuwabambikia kesi na ushoga vina uhusiano gani? Udikiteta na kuminya demokrasia vina uhusiano gani na ushoga?
 
Makonda anakiherehere mkuu hawez kupambana na jitu lilikuwa kubwa la CIA atakuwa kafyata mkia,kama mbwa jike alotoka kupigwa paaaaaip, ni kweli marekan wanatafutaga weak links ila kwanini tunawatengenezea hizo weak links ? alafu zikitokea wakianza kupenya mnajifanya mnajua mwisho wake ? jesh letu lenyewe mazoez yake tunayaona, mnatutafutia mataizo wakuu...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
stupidly..! Kachambe ulale..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaaan kuanziaa aliyemletaa dunianiaa na ambao hawajazaliwq wanaume wengine hawana akili jaman khaaa
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Lion is Tourism,hahah

dodge
 
kwani akizuiwa asifike U.S.A ndo umezuiliwa ww, mm au rais?
ni kwamba amezuiliwa yeye sisi haituhusu, apambane na hali yake bipa kusahau kujitathimini.
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Wewe ni mpuuzi wa mwisho... [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Human rights ni pamoja na kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwateka kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na havina uhusiano na ushoga kisingizio cha kishamba toka kwa vijana wa cyprian Musiba waliojaa gheto kwake wakivuta Bangi na kudanganyana
 
porojo...takataka
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
swadakta, naona huko ndo wanapoelekea. rais itabidi awe makini kwa hili
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Sababu kuu ya America kumkaa Daudi Bashite ni utekaji, uonevu, unyanyasaji kwa watu mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara akina Yusuph manji na kikubwa zaidi ni tabia yake mbovu ya kuwabambikia kesi za uhujumu uchumi na kesi zinginezo mbalimbali kwa wapinzani
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Human rights ni pamoja na kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwateka kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali na havina uhusiano na ushoga kisingizio cha kishamba toka kwa vijana wa cyprian Musiba waliojaa gheto kwake wakivuta Bangi na kudanganyana
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…