Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Madini yalishabebwa toka kabla hujazaliwa mpaka leo.

Huna akili wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Hiyo ni honi tu.pipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii gari haijafika.Ila,ila imekaribia.Naona kama madarasa yako machache.
 
Mashoga ni hatari.

Niliwahi kuandika haya...

Makonda ni muuaji kama issue ya ushoga kwa taarifa yako hata Trump anaupinga tafuteni MBELEKO nyengine ya kuwabebea WAUWAJI WENU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetukumbusha wale maaskofu na mashehe ambao huwa hawakosekani kwenye mikutano yake na kumwombea ndugu yetu huyu kwa bidii zote sijui sasa watasema nini au kuwa upande upi?
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Kwa uhuni nyinyi mnaongoza kuua na kutesa watu dhaifu wasioweza kujuhami hata kwa visu washenzi wakubwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wakati nasisi kuonyesha uzalendo wetu kwa kumfukuza Balozi wao na kumpiga ban Trump, Pompeo na wamarekani wote kuja Tanzania..Waziri wetu nguli Prop Kabudi atoetamko haraka sana.

Tuna reserve ya hela za kutosha pale BOT, Taifa letu linajitoshereza wasitutishe hawa.
 
Washenzi nyinyi mnaoua kuteka na kuweka vizuizini watu ambao muliapaka kuwalinda kwa mujibu wa katiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyaungi mkono mawazo yako daima. Kwa nini Huyu Makonda amekuwa mwiba Kwa uhusiano kati ya serikali na chama halafu huoni? Kwa nini anaanzisha vitu vya kuzalilisha utu wa mtu halafu huoni? Naomba mawazo yako kaa nayo usinipe hasira asubuhi hii
 
Taifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Hujaelewa implication ya kuzuiwa kwenda Marekani! Hasara utakazozipata ukizuiwa kwenda marekani siyo kukosa kwenda marekani mkuu, kama jambo fulani hujui maana yake kaa kimya!
 
Katibu Pompeo kuna mengine yamesahaulika piga bani haya majitu .Hapi,Gambo,Mnyeti,Kitwala na Sabaya.
 
Kenya tu hapo kuna maafisa kibao wamezuiwa kuingia marekani na wanaendelea kula maisha ndani ya Kenya,
Marekani siyo mbinguni kwamba usipoenda unakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka majina yao hapa tuwafahamu tafadhali.Hivi ni sifa gani unatakiwa kuwa nayo ili uzuiwe kuingia Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…