Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Madini yalishabebwa toka kabla hujazaliwa mpaka leo.Huu ndio wakati muafaka kwa Watanzania kusimama na rais, maana anatafutwa kwa namna zote, wanataka wamdhoofishe ili waendelee kubeba madini maana yeye ndiye mzalendo wa kwanza kupambana dhidi yao, alifanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yeyote Afrika, leo hii Waafrika wote wanamtegemea kuona kama atashinda kwenye haya mapambano, ili na wao waliamshe.
Huna akili wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app