Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Pompeo ana hadhi kubwa sana hakupaswa kabisa kutaja jina la taahira kama bashite kwenye tweet yake.
Naye kachoshwa na mambo ya jamaa.Amesubiri awajibishwe,kaona kimya.Sasa kaamua kuanza yeye.Tuendelee kwa kasi........
 
Nani hawa,na huku ni wapi
 
Wapigemarufuku na makanosani KABISA kha
 
Nadhani hapa sio suala la kwenda USA tu hilo sio issue kubwa ila ishara mbaya kuna maana kubwa nyuma ya pazia. Akisema USA ndio kama wengine wamesema na wao wanazuia family ya mkuu wa mkoa ina maana ni serikali. Jambo kubwa kwangu hii barua wametumia maneno ya kidiplomasia zaidi ingekuwa barua ya mtaani ingekuwa na maneno makali. Kitu kikubwa sana kusema wana ushahidi wa kuaminika kuwa anafanya mambo kadhaa ya hatari hapo ni muhimu kujuwa ni yapi hayo Kuteka, mauaji, kunyanyasa watu hii ni hatari sana ni kama kuishutumu serikali. USA wanaposema Ayatolah wa Iran hakuna kuja kwetu wanajuwa sana huyu mtu hajawahi wala kutaka kwenda kwao ila ni ujumbe kwa serikali tu. Hii kauli isichukuliwe poa ni hatari sana tena sana tusikae kujipa imani sijui tutaenda China tu hapana serikali ichukuwe hatua haraka kama ni jambo mtu mmoja kafanya step down kachukueni ushahidi ubalozini mjue kafanya nini kama hamjui. Waziri wa mambo ya nje USA hamjui Makonda ila ubalozi umeandaa hiyo report mzee kasign tu. Hiyo ndio kazi ya ubalozi ni hatari wanajua A to Z. kwa kauli yao hii wanajuwa kila kitu nani yuko nyuma ya mambo ya hovyo ni muhimu serikali ikajitenga na huyu mtu haraka.
 
Kuna mtu hawa Jamaa wamemlenga kwa Makonda kianzio tu wacha tuone nn kinafata
 
haya majinga ya

lumumba hayajui hata kazi za mabalozi mabeberu hapa kwetu ndo hayahaya mabunge majinga ya CHAMA CHAKAVU yanasema zitto anatoa siri za nchi nje kana kwamba hakuna mabalozi wa nje hapa kwetu au tunaishi kwenye chungu
Sana inasikitisha mabalozi labda wa nchi za Africa hawajui wanataka nini hawa wenzetu ni majasusi hatari wanajuwa kila kitu wanakulia timing tu. Halafu yule mama balozi mpaka kiswahili yuko fresh humteti kitu na wana chunguza kila jambo hivi tunadhani balozi ni kutoa visa tu? No wako kama Serikali yao kuhakikisha usalama wao unalindwa kutokea huku. Mimi nachukulia hii kauli ni hatari sana katika nchi yetu sidhani kama imeshawahi kutokea huko nyuma hatua kama hii sina uhakika.
 
Umeongea kinyaa kikubwa maneno yako nisawa na MTU kula mavi fresh yenye kipindupindu!! Huwezi kusema 70% niwahivyo, babako ni mtz? Nimakonda tuu anayepinga huo upuuzi tz nzima au Afrika? Sijui kwanini na argue anyways.
 
Hilo neno gross limetajwa kama msisitizo...Ukweli ni kwamba Dunia nzima tunahitajiana ila pia nchi kubwa kama US zina umuhimu wake japo napinga masuala yao ya kushadadia Ushoga..Tukae kama nchi tujitafakari tuweke mambo yetu sawa watatuumiza hawa wana nguvu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…