Naye kachoshwa na mambo ya jamaa.Amesubiri awajibishwe,kaona kimya.Sasa kaamua kuanza yeye.Tuendelee kwa kasi........Pompeo ana hadhi kubwa sana hakupaswa kabisa kutaja jina la taahira kama bashite kwenye tweet yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naye kachoshwa na mambo ya jamaa.Amesubiri awajibishwe,kaona kimya.Sasa kaamua kuanza yeye.Tuendelee kwa kasi........Pompeo ana hadhi kubwa sana hakupaswa kabisa kutaja jina la taahira kama bashite kwenye tweet yake.
Kwa vile uko in favour of CCM hauguswi huu.Mods ban huu uzi asap
Nani hawa,na huku ni wapiUkweli nimefarijika sana. Ukiristu unatufundisha upendo na kuvumiliana, mshenzi huyu huwa namuangalia anavyojipendekeza kwa viongozi wa dini kuficha maovu yake mwisho Marekani imemuanika peupeeee.
Mie naiomba Marekani iende mbali zaidi kama ilivyotumia ile Drones pale Iraki kwa Kassimu Suleiman watu dizaini ya Makonda. Na ninavyowapenda Marekani soon utasikia Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na shoga yao Muisrael nae wanampa ban Bashite kukanyaga hukoView attachment 1342900
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigemarufuku na makanosani KABISA khaUkweli nimefarijika sana. Ukiristu unatufundisha upendo na kuvumiliana, mshenzi huyu huwa namuangalia anavyojipendekeza kwa viongozi wa dini kuficha maovu yake mwisho Marekani imemuanika peupeeee.
Mie naiomba Marekani iende mbali zaidi kama ilivyotumia ile Drones pale Iraki kwa Kassimu Suleiman watu dizaini ya Makonda. Na ninavyowapenda Marekani soon utasikia Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na shoga yao Muisrael nae wanampa ban Bashite kukanyaga hukoView attachment 1342900
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo n segerea mkuu gerezaniNani hawa,na huku ni wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha dharau mdauDuh! Pompeo anamjua hadi standard seven Bashite?
Mshenzi mwenyeweTaifa la marekani huwa naliona Kama Taifa la kishetani tu hapa duniani. Kwani Nani kawambia makonda ana uhitaji kwa kwenda kwenye nchi yao. Shenzi kabisa Serikali ya Trump wote Ni wahuni Hamna kiongozi wa maana[emoji35][emoji35]
Nadhani hapa sio suala la kwenda USA tu hilo sio issue kubwa ila ishara mbaya kuna maana kubwa nyuma ya pazia. Akisema USA ndio kama wengine wamesema na wao wanazuia family ya mkuu wa mkoa ina maana ni serikali. Jambo kubwa kwangu hii barua wametumia maneno ya kidiplomasia zaidi ingekuwa barua ya mtaani ingekuwa na maneno makali. Kitu kikubwa sana kusema wana ushahidi wa kuaminika kuwa anafanya mambo kadhaa ya hatari hapo ni muhimu kujuwa ni yapi hayo Kuteka, mauaji, kunyanyasa watu hii ni hatari sana ni kama kuishutumu serikali. USA wanaposema Ayatolah wa Iran hakuna kuja kwetu wanajuwa sana huyu mtu hajawahi wala kutaka kwenda kwao ila ni ujumbe kwa serikali tu. Hii kauli isichukuliwe poa ni hatari sana tena sana tusikae kujipa imani sijui tutaenda China tu hapana serikali ichukuwe hatua haraka kama ni jambo mtu mmoja kafanya step down kachukueni ushahidi ubalozini mjue kafanya nini kama hamjui. Waziri wa mambo ya nje USA hamjui Makonda ila ubalozi umeandaa hiyo report mzee kasign tu. Hiyo ndio kazi ya ubalozi ni hatari wanajua A to Z. kwa kauli yao hii wanajuwa kila kitu nani yuko nyuma ya mambo ya hovyo ni muhimu serikali ikajitenga na huyu mtu haraka.Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
View attachment 1342730
View attachment 1342609
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
[emoji23][emoji23][emoji23]acha bangi wewe nusumsuKuma mwezangu[emoji23]
Sana inasikitisha mabalozi labda wa nchi za Africa hawajui wanataka nini hawa wenzetu ni majasusi hatari wanajuwa kila kitu wanakulia timing tu. Halafu yule mama balozi mpaka kiswahili yuko fresh humteti kitu na wana chunguza kila jambo hivi tunadhani balozi ni kutoa visa tu? No wako kama Serikali yao kuhakikisha usalama wao unalindwa kutokea huku. Mimi nachukulia hii kauli ni hatari sana katika nchi yetu sidhani kama imeshawahi kutokea huko nyuma hatua kama hii sina uhakika.haya majinga ya
lumumba hayajui hata kazi za mabalozi mabeberu hapa kwetu ndo hayahaya mabunge majinga ya CHAMA CHAKAVU yanasema zitto anatoa siri za nchi nje kana kwamba hakuna mabalozi wa nje hapa kwetu au tunaishi kwenye chungu
Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kinyaa kikubwa maneno yako nisawa na MTU kula mavi fresh yenye kipindupindu!! Huwezi kusema 70% niwahivyo, babako ni mtz? Nimakonda tuu anayepinga huo upuuzi tz nzima au Afrika? Sijui kwanini na argue anyways.Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Hivi ile drones waliyomrestisha yule jamaa pale Airport Iraqi mbona wasingefanya kwa huyu ibilisukizuiwa Marekani ujue umepigwa pini kila mahali na unafuatiliwa kwa zero distance