Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Hahahaaa helo mayoooo[emoji1787][emoji1787]Aibu sana,mnawaita mabeberu huku mnataka kwenda kwao.
Naona alitaka kwenda kupandikiza Mimba nyingine .
Hujambo dogo?Mkuu yani nilitaka kukupita hivi hivi kwasababu ya kubadilisha avatar Picha yako tuliyokuzoea
Sisi ni dona kantry wasitutishe hao mabeberuMike Pompeo hadi kuandika kwa individual kama Makonda ni kitu cha hatari sana, nimewaza mbali sana.
Hapana ukisoma barua suala la ushoga ni moja ya mambo ila kuna shutuma kubwa kuliko hiyo soma vizuri na ingekuwa ushoga tu siku nyingi angepigwa ban kuna shutuma uhuru na ulinzi wa watu hapo ndio hatari.Mashoga wana nguvu aisee yanadai haki za kuliwa.
Chadema njooni mshangilie sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii inaweza kuwa ni calculated move dhidi ya kuzima ndoto zako za makonda kuwa rais 2025?Yes nilisha wahi kwenda USA, si ni pale baada ya Ngulelo, Tengeru, then USA, baada ya hapo ni Maji ya Chai, then KIA.
Marekani kama nchi, sijawahi kufika, ila nimevaa sana material zao na kitamba cha Marekani.
P
Nakushauri tu kwa nia njema hebu toa tu neno hilo la ukabilaMwisho wa utawala wa kidhalimu wa Meko ndo umekaribia. Wamarekani fanyeni jambo mtuokoe toka mikono ya hawa wauaji wa kisukuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
DAB is a nobody that is a message to somebody that the veil is going to be unveiledNashukuru kwa kunisaidia kumjibu, kitu kinacho nikera kwa baadhi ya watanzania ni kutetea kila aina ya ujinga , hapa kwenye akili na wanaojua global politics, makonda kupigwa ban , secretary of state wa nchi kubwa kama marekani Ku tweet kuhusu makonda ujue kuna jambo kubwa zaidi ya kumzuia makonda kuingia marekani. Makonda ameteuliwa tu. Ila Sababu baadhi ya mamtu ni wajinga and have little understanding of global politics, diplomacy and power play watakuwa kutetea kila ujinga, tutapigwa vikwazo hapa vya kiuchumi hapa hata kukuza shamba itakuwa kazi. Kwenye akili kaeni standby, unaweza fumba na kufumbua we are in a worse situation than Zimbabwe, sababu hawa wakubwa wetu ni wazalendo sana kiasi kwamba wanaamini uzalendo wao utashindana na taifa LA marekani, very politically naive. Fuatilia tu comments utaona hili suala watakavyo ligeuza liwe LA kizalendo, wote watakao changia kutoka serikali ichukuwe hatua wataambiwa ni mawakala wa mabeberu!
Mayalla huwa anatuma ujumbe kinyumenyume tu wewe soma halafu pindua maana basi...Aiseee hivi kumbe watu wagumu kumuelewa Mkuu, Mayalla!!! Ha ha haaa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani nimeshindwa hata kupiga bao la asubuhi hii
Miaka ya sabini na themanini mwanzoni kulikuwa na shoga maarufu sana Dar es salaam akiitwa "Farouk" naye aliletwa na Marekani?
Mgogo kutoka jalalani anachoweza ni kusifia na kutoa macho sifa ambazo hazimpi heshima toshelezi kuteteaNa Kabudi anakwambia atahakikisha anapambana kuiondolea Zimbabwe Vikwazo.
dodge
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hiziCIA walishapewa taarifa zote za Daud Bashite na FBI waliopo hapo Tanzania juu ya utekaji upigaji risasi na kuwabambikia watu kesi kuwapora wapinzani ushindi kwenye chaguzi zote