Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Unapiga kelele tu Dogo. huu ndo mwisho wa serikali yenu ya kigaidi
Pambana na hili kwanza, kaa humo...;

Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Hizi haziwezi kuisha mkuu! 😂😂😂
 
Acha mihemuko we hebu bashite na kishindo cha awamu ya tano wametishia maslahi gani ya beberu marekani? Kama mjomba wenu kabudi na jiwe wameuza nchi kwa bei ya nyanya kwa beberu barrick je ni maslahi gani bashite aliyoitishia marekani?
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Nadhani baada ya kutokea kama hayo hao unaowaabudu nao watakuwa si lolote na tutaanza kwa kugeshimiana.
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?

Aisee umenikumbusha 1995 ambapo tuliambiwa tukichagua upinzani nchi itaingia kwenye vita kubwa na videos tukaoneshwa.

Ninachohisi ni kuwa wameanza na Daudi...
More to come....
 
Tunapewa madaraka. Ila lazima kujua ni dhamana. Mambo mengi ambayo mkuu amefanya yanauzi kwa watu. Ndio maana wanashangilia
 
Wamekwambia wana ushahidi wa jinsi alivyoshiriki kudhulumu uhaii wa watu mkuu,je unadhani wanasema porojo kama wanasiasa wa chadema?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe inabidi uondolewe humu unaaibisha hili jukwaa, unajua ikitokea kama hayo mawazo yako ya kikunguni nini kitakuwa kwa hii inchi...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mihemuko we hebu bashite na kishindo cha awamu ya tano wametishia maslahi gani ya beberu marekani? Kama mjomba wenu kabudi na jiwe wameuza nchi kwa bei ya nyanya kwa beberu barrick je ni maslahi gani bashite aliyoitishia marekani?
Jibu hili kwanza, USA huwa anahangaika na nchi za nje bila kuwa na maslahi? Uliza historia ya Rwanda genocide 1994 uone kama Marekani aliinua hata kidole kutetea hizo haki za binadamu anazojidai kuzipenda sana, maana kuke Rwanda hamna.cha maana zaidi ya masokwe tu. Sasa jibu hili;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Pohamba,
Mmesahau na ninyi mlimfukuza mkulima hapa Tz ..na mmemzuia kukanyaga hapa....kwan na yeye alikosa oxygne,tena kule alipo Africa anapumua vzr na anapata nyingine ya Ziada kuwashitaki.
 
Aisee umenikumbusha 1995 ambapo tuliambiwa tukichagua upinzani nchi itaingia kwenye vita kubwa na videos tukaoneshwa.

Ninachohisi ni kuwa wameanza na Daudi...
More to come....
Pambana na hili kwanza,
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…