Hujauliza swali, umetoa maelezoWe jibu tu swali, maswala ya kupanic achana nayo..
Shida ya WaTZ reasoning ipo chini sana nachotaka ufikirie ni kwanini nchi kama Egypt ambapo vita haikupiganwa haijaharibika licha ya kinachoitwa ''mabeberu kuchochea vita''??Yaani ukweli unaujua ila unauficha ficha tu, 😂😂, hebu niambie Marekani alituma jeshi lake kumtoa Iddi amini ili kulinda haki za waganda kama alivyofanya Iraq, Libya na Guaido kuoelejwa Venezuela? Unajua kwanini? Na unajua nini kimetokea kwenye nchi hizo? Jibu unalo ila naona unazunguka mbuyu tu..., narudia swali, pamabana nalo;
Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea?
Kama katazo halina madhara kwa nini unampa pole? Kama halina madhara kwa nini unajichanganya tena na kusema linaweza kuwagusa watoto wake baadae?H
Hili si katazo lenye madhara kwa MAKONDA maana sidhani kwa Mkuu wa Mkoa ni lazima aende Marekani, anawezakukaa muda wote wa uteuzi wake bila kufika huko Marekani. Ila tunampa pole maana inawezakubadiika hata ikagusa watoto wake baadaye
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.

Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;Hujauliza swali, umetoa maelezo
Mimi ndio nimekuuliza swali, mbona umepanic?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na uendawazimu wake Trump hajawahi kuuwa wapinzani wake kwa risasi hadharani hajaua waliohoji elimu yake wala hajawaweka kizuizini miaka saba watu anaotafautiana nao kiimani kama nyinyi mnaotutesea ndugu zetu wa uamshoWewe hata unachokisoma hukielewi. Ni mtihani tu kuanza kukusomesha.
Na Trump siyo muuaji kwa muono wako?
Kabla ya hayo, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;Shida ya WaTZ reasoning ipo chini sana nachotaka ufikirie ni kwanini nchi kama Egypt ambapo vita haikupiganwa haijaharibika licha ya kinachoitwa ''mabeberu kuchochea vita''??
Alafu linganisha na nchi ambazo madikteta walitolewa kwa mitutu ya bunduki.... Angalia DRC kwa mfano, marekani ilikua na mkono kwenye kung'olewa Mobutu ila ikumbukwe usalama na uchumi umedorora zaidi kuliko kipindi cha Mobutu??
Sasa nikuulize.... Je kosa ilikua ni kumtoa Mobutu au shida ni vita ndio imepelekea haya???
Madikteta waliotolewa kwa kujiuzulu tu kma Jammeh nchi zao zimeharibika??? Why Libya na Iraq??
Embu reason hapo unieleze hii trend
Sawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;Afadhari ushoga kuliko utekaji na mauaji ya wakosoaji wa mtawala kilaza
We bwana we acha maneno mengi huu utawala wa jiwe ni utawala wa wauaji tupuSawa, Hebu hangaika na hili kwanza acha kuzunguka mbuyu;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Pia Rwanda genocide ya 1994 alifanya nini kutetea haki za binadamu kama alivyofanya kwenye hizo nchi tatu pamoja na sisi anavyotutetea? Saudi Arabi baada ya kumchinja Kashogi Marekani waliendelea kufanya nao biashara na kuwapongeza, unajua kwanini?
Shida unaongozwa na propaganda kuliko uhalisia..... Je marekani kwenda vietnam kulikua na faida ya kiuchumi?? Vipi CUBA kulikua na faida ya kiuchumi?? Na nikukumbushe tu hata Angola na Zimbabwe zilipoenda kupambana na majeshi ya Rwanda yaliokuwa supported na US huko DRC yalidai dhahabu in return ya gharama za vita lakini ingefanya hivyo US mapovu mngetoka hapa wiki nzima.Yaani ukweli unaujua ila unauficha ficha tu, 😂😂, hebu niambie Marekani alituma jeshi lake kumtoa Iddi amini ili kulinda haki za waganda kama alivyofanya Iraq, Libya na Guaido kuoelejwa Venezuela? Unajua kwanini? Na unajua nini kimetokea kwenye nchi hizo? Jibu unalo ila naona unazunguka mbuyu tu..., narudia swali, pamabana nalo;