mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,664
- 2,324
Pambana na hili kwanza, kaa humo...;
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?
Hadi utakapojibu
Hawa jamaa wapo mbele sana katika kukusanya taarifa, kuzichakata na kupata jibu sahihi / maana halisi na kisha kufanyia maamuzi .
Cocktail parties zinazofanyika Dsm , wanafunzi na maafisa serikali waliopata scholarship / safari za mafunzo Marekani pia ni vyanzo sahihi za kupata habari.
Serikali ya Tanzania iliposisitiza wafanyakazi wa umma waombe kibali na kuelezea sababu za safari nje ya nchi ilikuwa kuwatia hofu wasitoe siri au ukweli wa mambo yanayoendelea Tanzania. Hivi juzi tu Mh. Zitto Kabwe bunge la Ndugai wamemshambulia sana kuwa ni msaliti hii yote kutia watu hofu.
Hivyo mara nyingi Marwkani hawakosei wanapotoa taarifa kama hii kwa umma na ulimwengu maana kuna vyanzo vingi kukusanya taarifa sahihi.
Watu bwana mnashikilia hilo la ushoga kama vile ni janga la kuleta athari kumbe hamna kitu,wewe mwenyewe dhambi ngapi unafanya? Na mtu akiwa shoga wewe unapata hasara ipi? Au taifa linapata hasara gani? Mataifa mengine wanao ruhusu hayo mambo yamepungukiwa na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila huo mnaouita udikteta basi nchii hii ingekuwa mikononi mwa beberu muda huu, nanhiyo Stieglers gorge mngekuwa mnaisikia kwenye ndoto zenu tu, hatuwezi kuruhusu hilo kamwe.Basi ni jukumu letu kuungana na kukemea utawala wa kikatili wa Magufuli kabla mabeberu hawajapata sababu ya kutuvuruga...
Watu ndani ya nchi yetu tunaishi kama wakimbizi, wenye haki ya kuishi kwa uhuru ni wana CCM tu..
CCM wanakusanyika kila wanapojisikia upinzani wakikusanyika wanapewa kesi za uhujumu uchumi...
tuna Ndugu kibao wako mahabush wengine nje kwa kesi mbalimbali za kijinga na uonevu.
Tanzania ni yetu sote sio ya kikundi cha watu wachache.!
Mnaokuja na hii hoja mnafurahisha sana..... Sasa kama Marekani ndio kamshoot Lissu ili kupata sababu ya kuivuruga Tanzania je ni kwanini polisi wameshindwa kudadavua huu mchezo?? Yaani mpaka leo mtuhumiwa hajakamatwa ila lawama ni kwa CIA??Ujui lolote kuhusu ujasusi funga mdomo wako, wewe unarushiana maneno na ndugu yako kila mtu anaona ndugu yako akiuawa hakuna atakae kuelewa, wenye nia na kuinyonya nchi yetu na kuona flani ni kizuizi ataingilia ugomvi wenu kimya kimya na kumuua mmoja mmoja akose pa kujitetea,
Sent using Jamii Forums mobile app
Gross violations of human rights- hapa Secretary Pompeo kwa busara na diplomasia amesita kumuita muuaji mkubwa.
Secretary Pompeo
✔@SecPompeo
Today we designated Dar es Salaam Regional Commissioner Paul Christian Makonda as ineligible to enter the U.S. for his involvement in gross violations of #humanrights. We are deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in #Tanzania.
Soleiman ni kibaraka wa Marekani...... alichokipata kilimuhusu!Paul Makonda ndiyo aliwaweka ndani hao ndugu zako wa uamsho?
Trump juzi kamuua nduguyo Soleimani umesahau tayari?
Yaani kuna watanzania wengine hawajielewi hadi inasikitisha! Wao wanamwona mmarekani anatupenda sana!Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi? Mashoga wakubwa nyie, nendeni huko kwa mabwana zenu mkatafunwe mik*undu mbwa nyie..!!!
Afanye hivyo kama ana ubavu huo!Na yeye RC azuie shughuli zote zinazoendeshwa na Ubalozi wa Marekani pale msasani
Sent using Jamii Forums mobile app
We jibu tu swali, maswala ya kupanic achana nayo..
Mbona hujamtaja James delicious ambaye ndiye hasa kawatoa pangoni akina pompoma aka pompy?DPP Biswalo huko alipo aanze kutia maji. Machozi ya kabendera, tito magoti na wengine hayatadondoka bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com
Nimefuatilia comments za waTz katika majukwaa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii; kwa kweli niseme kwa dhati kabisa kwamba nimeshtushwa na kushangazwa na kusikitishwa na kitendo cha waTz kushangilia katazo hilo.
Makonda kapigwa hilo zuio kutokana na marufuku aliyoiweka kwa wanaume kuzibuana makalio na mitaro ya maji machafu, and rightfully so! Hivi hawa manguruwe walitegemea sisi tukubali ushoga kabisa, kweli?!!
Pia ifahamike, hayo masuala ya ushoga ni kama sababu tu tunayotafutiwa, ila kuna jambo lingine lipo nyuma ya pazia na hiyo ya ushoga ni gelesha tu. Marekani huwa haingilii mambo ya ndani ya nchi bila kuwa na agenda za maslahi yake anazokua amezificha, tuwe makini.
Ila kubwa kabisa, nimegundua wanaosapoti ushoga katika nchi hii ni wengi sana, nahisi 70% yaWatz wote ni mashoga, i fear so, ngoja niendelee kufuatilia comments huko mitandaoni.
Demokrasia barani Afrika ni ya kuogopa kama ukoma, mwenye hoja ya kupinga aje ulingoni
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na hawakupi msaada kama huzingatii demokrasia na haki za binadamu (wapinzani). Jibu ni rahisi sana...www.jamiiforums.com