Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Siasa za kibabe siku zitw zina matokeo mabaya,ila siasa za kidemocracy..kwa dunia ya sasa ndo zinatija...kwa nchi kama zetu ndogo na hafifu kiuchumi ni lazima viongoz watambue hili,lazima wa abide na baadh ya vitu ili kuendana na khar ya dunia ya sasa...ila katika utawala wa huyu mkulu ni kwel anajitahidi kuleta mabadariko ila anatumia siasa za kibabe,yaan hutak utataka as long as nimeamua mimi.uhuru wa kujieleleza kwa dunia ya sasa unapimwa kama kigezo muhimu kwa democracy,mambo yote ambayo wameyaeleza ukiyachunguza yapo na yamekuwa yakilalamikiwa,kupiga marufuku vyama tawala kufanya mikutano,na shughuli zote za kisiasa,utekwaji na kutokuwepo na taarifa au juhudu za wazi kutatua matatizo haya,ni kama serikali inejielekeza sana katika mipango yake kabambe ya maendeleo,na yeyote atakayejaribu kuharibu mpango au kuingilia basi he is dead...
 
Nanukuu"Nchi hii ni taaajirii tutafanya kwa pesa zetu wenyewe. Watanzania tutembee kifua mbelee. "Mwisho wa kunukuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe mafi mafi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau jina la Tanzania limechafuka, watalii wakapungua, wawekezaji wakapungua, misaada ikapungua, vikwazo vikaongezeka.
Nani kakwambia watalii wanafuatilia upuuzi wa kisiasa
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?

We jamaa vitu unavyosema ni sawa sawa ila sasa kuna jambo me nataka tuwekane sawa, Marekani huwa haji kichwa kichwa anasubir kwanza ufanye upumbavu wako ndio iwe sababu, yan He comes when there is a weak link , sasa kwanini hawa wakuu wanatengeneza hizo weak links kizembe ivyo ? Na ikumbukwe kuwa yan kimapambano sisi USA hatumuwezi hata robo ya robo ?

Sasa basi kwanini tusideal na wanaotengeneza mazingira hayo ya wamarekan kupata sababu ya kuja bongo na tumekazana kumsema mmarekan ambaye hatumwezi huon kama nothing positive will come out of what you guys are saying...

Kumbuka kwamba hilo jitu Pompeo alosema hayo mambo alikuwa BOSI WA CIA, na sio Kangi Lugola so ujue hilo ni picha la kutisha watakuwa makonda washamzoom nje ndani hawaropokag hivi hivi, Kajamaa kamezidi kuropoka mkuu ivi mbona hamtaki kukubali haka kajamaa kana blunder nying kanafanya ila kanapendelewa na mkuu ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
..😂😂😂..We Jamaa unafurahisha Sana....🤣🤣🤣🤣
 
Paul Makonda ndiyo aliwaweka ndani hao ndugu zako wa uamsho?

Trump juzi kamuua nduguyo Soleimani umesahau tayari?
Kichwa ngumuu kama nazi niliposema wapinzani wake kisiasa sijaongelea ktk anga za kimataifa!!!
Akili zako na bashite ni sawa na sahani na kawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KWA JINSI FIKRA ZAKO ZILIVYO FINYU UMEKARIRI USHOGA TU!
SOMA VIZURI KAMA HUJUI KIRENGEZA OMBA UTAFSIRIWE MBUZI WA KIJANI WEWE
 
Kukuelewa inahitaji uwe na IQ ndefu. Ahsante umesikika kwa ushauri mzuri.
 
Mbona unajitekenya mwenyewe? Nimekueleza kwamba hakuna nchi yenye natural resources ambayo marekani ataingiza mkono wake kutetea haki za binadamu unless ni kwa maslahi yake ya kiuchumi kwa kuivuruga na kupora rasilimali hatimaye.., nimekutolea mfano wa nchin tatu, sasa tusitake tuwe wa nne..
 
Mkuu naona umeamia Tanzania mwaka jana au tabia zenu za "fuata mkumbo" hebu soma hii ripoti na kisha urudie kusoma ulichoandika!
 

Attachments

Kuna nini Rwanda zaidi ya masokwe? Mambo yote yapo DRC north east, kaone balaa lake huko sasa, hata Rwanda ni mnufaika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…