Mr Big
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 479
- 922
Siasa za kibabe siku zitw zina matokeo mabaya,ila siasa za kidemocracy..kwa dunia ya sasa ndo zinatija...kwa nchi kama zetu ndogo na hafifu kiuchumi ni lazima viongoz watambue hili,lazima wa abide na baadh ya vitu ili kuendana na khar ya dunia ya sasa...ila katika utawala wa huyu mkulu ni kwel anajitahidi kuleta mabadariko ila anatumia siasa za kibabe,yaan hutak utataka as long as nimeamua mimi.uhuru wa kujieleleza kwa dunia ya sasa unapimwa kama kigezo muhimu kwa democracy,mambo yote ambayo wameyaeleza ukiyachunguza yapo na yamekuwa yakilalamikiwa,kupiga marufuku vyama tawala kufanya mikutano,na shughuli zote za kisiasa,utekwaji na kutokuwepo na taarifa au juhudu za wazi kutatua matatizo haya,ni kama serikali inejielekeza sana katika mipango yake kabambe ya maendeleo,na yeyote atakayejaribu kuharibu mpango au kuingilia basi he is dead...