Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Siasa za kibabe siku zitw zina matokeo mabaya,ila siasa za kidemocracy..kwa dunia ya sasa ndo zinatija...kwa nchi kama zetu ndogo na hafifu kiuchumi ni lazima viongoz watambue hili,lazima wa abide na baadh ya vitu ili kuendana na khar ya dunia ya sasa...ila katika utawala wa huyu mkulu ni kwel anajitahidi kuleta mabadariko ila anatumia siasa za kibabe,yaan hutak utataka as long as nimeamua mimi.uhuru wa kujieleleza kwa dunia ya sasa unapimwa kama kigezo muhimu kwa democracy,mambo yote ambayo wameyaeleza ukiyachunguza yapo na yamekuwa yakilalamikiwa,kupiga marufuku vyama tawala kufanya mikutano,na shughuli zote za kisiasa,utekwaji na kutokuwepo na taarifa au juhudu za wazi kutatua matatizo haya,ni kama serikali inejielekeza sana katika mipango yake kabambe ya maendeleo,na yeyote atakayejaribu kuharibu mpango au kuingilia basi he is dead...
 
Nanukuu"Nchi hii ni taaajirii tutafanya kwa pesa zetu wenyewe. Watanzania tutembee kifua mbelee. "Mwisho wa kunukuu[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe mafi mafi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hutakuja kusikia kitu kama hicho..soon wataitisha press kutaka kujieleza..kimsingi mavi yanagonga chupi na kurudi..
Sisi ni dona kantri..[emoji22][emoji22] bure kabisa..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani aliingilia kupigania haki za raia wa nchi hizi
1.) IRAQ
2.) LIBYA
3.) VENEZUELA
unajua nini hizi nchi wanacho in common?, unajua nini kimewatokea? Je, na sisi wanapigania haki zetu sasa? Nini mnataka kitutokee na sisi?

We jamaa vitu unavyosema ni sawa sawa ila sasa kuna jambo me nataka tuwekane sawa, Marekani huwa haji kichwa kichwa anasubir kwanza ufanye upumbavu wako ndio iwe sababu, yan He comes when there is a weak link , sasa kwanini hawa wakuu wanatengeneza hizo weak links kizembe ivyo ? Na ikumbukwe kuwa yan kimapambano sisi USA hatumuwezi hata robo ya robo ?

Sasa basi kwanini tusideal na wanaotengeneza mazingira hayo ya wamarekan kupata sababu ya kuja bongo na tumekazana kumsema mmarekan ambaye hatumwezi huon kama nothing positive will come out of what you guys are saying...

Kumbuka kwamba hilo jitu Pompeo alosema hayo mambo alikuwa BOSI WA CIA, na sio Kangi Lugola so ujue hilo ni picha la kutisha watakuwa makonda washamzoom nje ndani hawaropokag hivi hivi, Kajamaa kamezidi kuropoka mkuu ivi mbona hamtaki kukubali haka kajamaa kana blunder nying kanafanya ila kanapendelewa na mkuu ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa mujibu wa Le mutuz ambaye alihojiwa na FBI kwa Siri amesema uchunguzi umeonyesha kuwa shambulio la Tundu lisu lilisukwe na kutekelezwa na Daud Bashite ndiyo maana wameanza naye ingawa wana list ndefu ya watu wa kuwawekea vikwazo ambayo wanaifanyia kazi ikiwemo ya wakuu wa wilaya ma RPC na viongozi wengineo
..😂😂😂..We Jamaa unafurahisha Sana....🤣🤣🤣🤣
 
Paul Makonda ndiyo aliwaweka ndani hao ndugu zako wa uamsho?

Trump juzi kamuua nduguyo Soleimani umesahau tayari?
Kichwa ngumuu kama nazi niliposema wapinzani wake kisiasa sijaongelea ktk anga za kimataifa!!!
Akili zako na bashite ni sawa na sahani na kawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1580542845332.png

KWA JINSI FIKRA ZAKO ZILIVYO FINYU UMEKARIRI USHOGA TU!
SOMA VIZURI KAMA HUJUI KIRENGEZA OMBA UTAFSIRIWE MBUZI WA KIJANI WEWE
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Kukuelewa inahitaji uwe na IQ ndefu. Ahsante umesikika kwa ushauri mzuri.
 
Unaona sasa.... Shida upo biased sana. Mie nmeshatoa hoja kuwa Vita ndio zimepelekea hizo nchi kuvurugika sio fitna za mzungu per se. Yaani fitna bila vita nchi haiwezi vurugika kwa level ya Syria au Lybia.

Sasa ni jukumu lako wewe mtoa hoja kunionyesha hizo nchi tajiri ambazo hazikupigana vita ila bado zilivurugwa na marekani. Sio wwe tena kutaka mmi nikupe mfano wa nchi tajiri ambayo haijavurugwa na intervention ya USA wakati haikua hoja yangu. Sijui unaiona tofauti

Mie nmetoa mifano ya nchi maskini ambazo US amezisaidia ili kuprove hoja yako ya kuvamia nchi zenye rasilimali ni UONGO.

Nasubiri facts
Mbona unajitekenya mwenyewe? Nimekueleza kwamba hakuna nchi yenye natural resources ambayo marekani ataingiza mkono wake kutetea haki za binadamu unless ni kwa maslahi yake ya kiuchumi kwa kuivuruga na kupora rasilimali hatimaye.., nimekutolea mfano wa nchin tatu, sasa tusitake tuwe wa nne..
 
MASKINI MLETA UZI UNA KURUPUKA BILA KUJUA WHAT'S GOING ON.

NI HIVI HUU UTAWALA WA MAGUFURI MATUKIO YA KUUA RAIA,KUTEKA NA KUSHA MBULIA MTU YOYOTE ALIYE NA MAWAZO TOFAUTI NA MAGUFURI NDIO CHANZO CHA MAMBO YOTE. AMA KWELI USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZZ
Mkuu naona umeamia Tanzania mwaka jana au tabia zenu za "fuata mkumbo" hebu soma hii ripoti na kisha urudie kusoma ulichoandika!
 

Attachments

Kwahiyo uhuni aliofanya Gadaffi haukuhalalisha yeye kuondolewa?? Kumbuka aliwahi tungua ndege yenye wamarekani na tokea hapo ndio beef lilipoanza whether ana mafuta au lah.

General wa Iran kauawa sababu alikua uwanja wa vita ambako ni jeshi pinzani kwa US kwahiyo kufa hakuepukiki ila angeuawa akiwa Iran ungekua na hoja.

Mbona Rwanda inapiga hatua kiuchumi ila US hajaivuruga zaidi ndio anaongeza support kila mwaka??

Nmetoa mfano wa huko Kosovo na Bosnia je kulikua na faida ya kiuchumi hadi marekani apeleke jeshi na silaha??

Marekani anaweza kuwa na madhaifu yake lakini si kweli havamii nchi mpaka kuwepo na rasilimali!!
Kuna nini Rwanda zaidi ya masokwe? Mambo yote yapo DRC north east, kaone balaa lake huko sasa, hata Rwanda ni mnufaika..
 
Back
Top Bottom