Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Umeambiwa kadhulumu haki ya kuishi kwa baadhi ya watu kisha wewe unatuletea habari ya ushoga.


Pathetic
 
Na sisi tuwaamuru hawa watawala wetu watuambie Ben Saanane, Azory Gwanda, Christopher Kanguye, na wengine. Pia watuambie Nani wamempiga risasi Lisu, nani wanateka watu, kwa jina la "wasiojulikana," waliokuwa wanaokotwa kwenye viroba mitoni na baharini!!! Maana ukisoma vizuri zuio la Wamarekani wanasema Bashite Ni mmoja wa watuhumiwa. Tunataka wengine wanaohusika na kadhia hii tuambiwe na wale tuliowapa madaraka ya kutulinda.
 
Kumbe jibu unalo mnaishi kwa msaada wa watu wa marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema utakuwa naye, usitujumuishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marginalized wewe unaelewa ni ushoga tu?hapo kweli inabidi ujicheke mwenyewe manake unastahili.
acha kudanganya serikali ya trump haipendi mashoga kwenye suala la mashoga trump anamsimamo sawa na bashite akina obama ndio walikuwa wanatetea ushoga.
Embu tafakari kwa kina statement ya us maneno kama "denial of the right to life" maana yake ni uuaji makonda anashiriki uuaji.
tena wanasema wana credible information yaani hapa CIA wameusika.
Inamaana aya maauaji ya ajabu yanayotokea tanzania kama kina saanane kwamba bashite anahusika
 
Unapotosha kichwa maji wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania reasoning ipo chini sana comment kma hii Youtube na Insta zimejaa.... Kiukweli tuna IQ ndogo sana kama taifa

Kama mchezo umechezwa kuichafua serikali kwanini polisi au TISS wameshindwa kukamata hao waliofanya?? Ina maama kumbe mtu anaweza fanya uhalifu wa kuchonganisha asijulikane ??

Mngejivua lawama kma mngekamata waliohusika na mchezo huu ila kitendo cha kushindwa kamata hta number plate alizotaja Lisu na namba za simu zilizomtishia inaonyesha nyie ndio mmehusika mpende msipende.

Kingine US haitaji kuchonganisha nchi maskini kama Tz wakato anaweza wabana kwenye misaada tu mpaka awatawale.... Hayo ya kuchonganisha ni mataifa makubwa kama China au Iran sio ombaomba kama sisi.

Wakizuia tu misaada ya ARV au Elimu na afya si ametumaliza..... Anahitaji mpaka alete vita humu ndio atudhoofishe??

Msipende kuleta ujuaji kwenye kila kitu
 
Marekani anafanya hivyo pale anapotaka kuiba tu, ila mwenyewe anapotezea wizi wa Trump kwa Hilary. Ndio maana mpaka leo wanahangaika kumtoa wameshindwa. Trump aliiba kura kwa msaada wa Urusi.
Hiyo unajua wewe na haihusiani na hii ya Makonda pole sana kwa stroke😁😁
 

bro unamtetea bashite sababu ni msukuma mwenzio au ???

nani asiyejua makovu alosababisha makonda kwa raia wa taifa hili?
 
Brother mbona unakurupuka?wapi nilipoyaongelea hayo unayoyasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…