Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Mkuu unakumbuka bunge la ulaya lilikuja na resolutions karibu 18 ambazo hata mtoto wa nursery angeweza kuzielewa Lakini hawa wapuuzi wakiongozwa na MUSIBA wakashikilia kwenye ushoga tuu? Ivi haki za binadamu ni ushoga tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe pia ni shoga kama mashoga wengine.
Mwanaume halisi hana Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukimuua mtu unakua umemnyima haki yake ya kuishi.
Huo ndio ukweli Mkuu. Lakini kuna watu hapa kwa makusudi kabisa wanataka kuwapotosha Watanzania wajikite kwenye kudhani Makonda anazuiwa kwa sababu ya msimamo wake mambo ya ushoga. Ukweli ulio wazi ni kwamba USA wanamtuhumu Makonda kuhusika na kuua watu. Sasa watu gani Makonda kahusika kuwaua? Hilo ndilo swali Watanzania tunapasa kuwashikia bango USA watufafanulie.
 
A group of Senate and house members who are pro -LGBTQ preparing a letter vs Tanzania!!It is a big shame for USA Senate to be used as a rubber stamp in advocating HOMOSEXUALITY!!
 
Mkuu sababu za makonda kuzuiliwa zimewekwa hadharani kwenye ile barua.. Na pia wamesema wanaushahidi kabisaa.. Ningekuona mzalendo walau ungeomba huo ushahidi uwekwe hadharani ili tuprove nikweli ama wanamsingizia


Je haiwezekani kuwaomba USA waweke huo ushahidi hadharani tujue na kama vipo vya kuona tuone???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…