Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
...πππ..Lemutuz mobimba..πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...πππ..Lemutuz mobimba..πππ
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Hawa hawa mabeberu yanayotaka kutuletea ushoga!?halafu hawa watakuwa ndio wanaoleta madawa ya kulevya wameona mianya yao imebanwa na Makonda.Tunahitaji mahusiano mazuri na marekani ili nasisi mambo yetu yanyooke
Nye...nye...nye [emoji2][emoji2]...[emoji23][emoji23][emoji23]..Lemutuz mobimba..[emoji23][emoji23][emoji23]
Makonda showed his hate openly. He asked those practicing this act stop otherwise they will go to jail. After this crackdown, US and UK came out with a press release condeming the act. Other countries have the laws but they dont follow.I think there are some laws in Tanzania tells something about homosexual and its clearly stated that homosexual is prohibited in Tanzania. With no doubt, this law existed since independence and still working if not somebody can correct. If this law was there since Nyerere till now, Why this tycoon USA want now to deal with our friend Makonda??
As far as I know, there are some nations in Africa have strictly prohibit homosexual with strong punishment when some body caught involved, Why do USA deal with only Tanzania and Paul not these nations?
I will be back.. please somebody help on those questions.
Pamoja na ulaghai wote wa USA lakini kwa uamuzi huo dhidi ya Bashite wachangiaji hapa na hata wasio wachangiaji lazima watasema ahsante kwa USA. Wengi wanamchukia sana kwa baadhi ya kauli na vitendo vyake.Kwahiyo anachokisema USA unaamini? Angalia matukio mengi aliyoyafanya duniani kwa kuidanganya dunia. Hiyo barua ukiiangalia kiundani ni copy paste. Yaani wamechukua barua ambayo washaandikiaga watu na kuedit jina la makonda tu. Swala hapo ni la ushoga tu hakuna kitu kingine. Nasikitika sana kuona waafrika wanawaamini sana USA katika kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na akili ndogo utasema kama ulivyosema, ila ngoja uone makubwa yajaYeye haimsumbui. Kama wewe unaona juwezi ishi bila ya kwenda USA sio watu wote. Mimi sijawahi kwenda USA lakini mzuka nako sina kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amerika kuna haki za binadam? Unaju ma black wangapi wanauawa Chicago lila siku? Isitoshe Trump mwenyewe ni racist. Unaona jinsi gani ana msakama Black president Obama?Muziki wa Trump umeanza......na bado!!
Acha Makonda na babake waendelee kutukana na kuwaita Wamerekani ni mabeberuβ¦!!
Mwisho wa.siku wataelewa somo la kuheshimu DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU!
Ndo ujiulize dawa zinapelekwa marekani ndio Kuna soko wanakamatwa wamexico waafrica na wapakistanHawa hawa mabeberu yanayotaka kutuletea ushoga!?halafu hawa watakuwa ndio wanaoleta madawa ya kulevya wameona mianya yao imebanwa na Makonda.
Wewe Ni shoga ndo Maana mnamupiga Vita makondaa kisa kawazuia ushoga jijini dar.Hujaelewa implication ya kuzuiwa kwenda Marekani! Hasara utakazozipata ukizuiwa kwenda marekani siyo kukosa kwenda marekani mkuu, kama jambo fulani hujui maana yake kaa kimya!
Read the given article from Pompeo to see if they stated such accusation then come back here to discuss this ban in a right wayI think there are some laws in Tanzania tells something about homosexual and its clearly stated that homosexual is prohibited in Tanzania. With no doubt, this law existed since independence and still working if not somebody can correct. If this law was there since Nyerere till now, Why this tycoon USA want now to deal with our friend Makonda??
As far as I know, there are some nations in Africa have strictly prohibit homosexual with strong punishment when some body caught involved, Why do USA deal with only Tanzania and Paul not these nations?
I will be back.. please somebody help on those questions.
Makubwa yapi. Americans are stupid. Huwezi leta reasons ambazo hazina msingi. Hawa jamaa ni mwendawazimu ndio anaweza kuwaamini. Angalia matukio mengi duniani ya uongo wanayoyafanyaUkiwa na akili ndogo utasema kama ulivyosema, ila ngoja uone makubwa yaja
Marekani anafanya hivyo pale anapotaka kuiba tu, ila mwenyewe anapotezea wizi wa Trump kwa Hilary. Ndio maana mpaka leo wanahangaika kumtoa wameshindwa. Trump aliiba kura kwa msaada wa Urusi.