Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha ya nini mkuu. Ukiwa na hela hapa bongo ni marekani tosha. Na ukiwa huna kitu na upo marekani basi unakuwa kama upo jahanam. Think b4 you talk
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakishamdaka wanampeleka wapi?Na akijiroga akaenda, anadakwa huko huko juu kwa juu
Tunahitaji mahusiano mazuri na marekani ili nasisi mambo yetu yanyookeKwani asipoenda Marekani yeye anakosa nini!?achane nao mabeberu tu hayo tena ikiwezekana na wao tuwazuie kukanyaga bongoland.
Si alisema yeye ni jiwe?Magufuli ubabe wake ni kwa raia zake tu anajua hawana uwezo wa kumanya chochote zaidi ya kusikitika, lakini mbele ya USA ataufyata kama aliefumaniwa vile.
Hapo Ndu- gay hakosekanikuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .
Mbombo ngafuSawa kabisa, waondoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MTEMA KUNI alikiona nini hivi uyujamaamkuu wewe hamu yako Tanzania ikione cha mtema kuni. Kwa uhakika hiyo ndio dhamira yako otherwise usingelimpush Magufuli aoneshe umwamba wake kwa US wakati unajua vizuri chochote kitakachotoka mdomoni kwa huyu mzee kitakua ni petroli ktk cheche ya moto. Sitegemei kuwa litakuwa unalolitaka liwe kwa sababu na Magufuli pia anajua ilipofikia US hawatanii.
Serikali itazinunuaWanunuzi wakubwa wa Korosho,kahawa na Pamba duniani ni mmarekani.Sasa mtauza korosho na pamba kule sokoni kariakoo.Mchekeeni tu
😂😂😂 Maajabu haya!Kuna watu wana upeo mdogo mpaka inasikitisha ! Sijui Shule mlikuwa mnafanya nini!
Tatizo ni impact ya America,Acha cherry picking mimi nimetoa mfano kuwa mbona ameingia nchi masikini pia ambazo hazima rasilimali kama Kosovo au Guatemala?
Kwahiyo nimekipa task nipe mfano wa nchi yenye rasilimalia ambayo US ameingia bila vita kupiganwa na ikaharibika?? Nipe mfano wa hizo nchi.
Maana mmi hoja yangu ni kwamba nchi zinaharibiwa na vita sio eti marekani..... Mbona Egypt iko imara licha ya pressure ya US jamaa kuachia ngazi?? Vipi CUBA mbona licha ya pingamizi la US wamebaki imara hadi leo?? Yote sababu huko vita hazikupiganwa za wenyewe kwa wenyewe ila vita ndio huleta maafa.
Libya na Iraq huko sababu vita zimepiganwa so Is machafuko venezuela. Ila marekani ikikuwekea pressure alafu ukiamua kujiuzuru kirafiki kabisa kama Yahya Jammeh nchi yako itaharibikaje?? Hapa ndio sikuelewi kabisa.
Issue ni VITA.....VITA....VITA..