Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Ndugai kawa mpole kama kaokoka vile. Anaogopa zamu yake na drone.
 
Hili la "flagrant denial of right to life' linamnyooshea kidole kuhusika kwake kwa kupotea kwa watu katika mazingira tatanishi.
 
Ukitaka kumuudhi muamerika wewe ingilia haki za masuala ya LGBT. Muamerika atakurarua kama simba! Ukitaka awe rafiki yako ongelea raha za kuwa:
L = Lesbian = wanawake kusagana wenyewe kwa wenyewe.
G = Gay = wanaume kuchomekeana wenyewe kwa wenyewe.
B = Bisexual = wasagaji (L) kufanyana na wachomekeanaji (G).
T = Transgender = kubadli jinsia ya Me kuwa ya Ke au ya Ke kuwa ya Me mahospitalini.

Makonda alifanya makosa makubwa sana kwenye hayo masuala. Akienda USA hao ma LGBT watamumaliza. Hivyo ban hiyo ni kwa usalama wake.
 
Kitendo cha mteule wa Rais kutuhumiwa kwa mauaji na uvunjaji wa haki za binadamu ni sawa na kumtuhumu Rais ila kwa kupitia wateule wake.

Bunge badala ya kujadili mipasho pamoja na kusifu wapumbavu lijikite kuitaka serikali na huyo aliyemteua ameondoe haraka.

Nchi ni muhimu kuliko binadamu yeyote yule. Huyu Makonda hapaswi kulindwa kwa namna yoyote ile.
 
Safari moja uanzisha nyingine...
 
Kwani ametuhumiwa kuuwa?
 
labda kwa lugha ya ishara
 
CIA wameshamaliza kazi yao. Walipozuia vyombo vya usalama vichunguze mauwaji wakajiona wajanja Wapinzania tulipigania vije nchini vyombo huru vyenye weledi mkubwa ktk maswala ya upelelezi akina Lusinde na Msukuma wakapiga mapambio yao.

Hawakujua....hawakujua CIA hawasubiri kupewa ruhusa kuingia nchini mwako pale inapobidi sasa naona Makonda amebaki peke yake. Waimbaji wote wamekimbia.
 
Dr Akili,
Acha visingizio nenda kamtete Makonda kwa Pompei si ndio nyie mnakula buku saba zake kila siku.
 
Huu ubalozi uliowahi kupigwa na materrorist
 
Simama kwa madaha, piga kifua sema mimi Titicomb ni tabular rasa
Mimi nacheka tu sichukii lugha zako za kejeli na dharau kwenye majadiliano.
Nimeshavuka kiwango hicho cha ukomavu na fikra.

Kwa kukujulisha tu sasa mimi nasoma falsafa za Stoicism na ni mfuasi mtiifu wa hiyo falsafa, huwezi kunivunja moyo mentally, you have to do more than these simple insults.
My wisdom is above and far beyond your comprehension, you can never break me mentally, never in your life time.
Nakushauri tu 'mdogo wangu kifikra' kafuatilie Stoicism ndio nini, na stoics ndio nani kisha utajua unajaribu kupambana na nani kisaikolojia.

Kama haujatosheka na matusi au kejeli ongeza kunitusi, ikilazimu nitukane na matusi ya nguoni au wazazi wangu ufurahi, lakini mimi sitaacha kutoa mawazo yangu hapa JF na popote. Ukiona unaumizwa na mawazo yangu jifanye hujaona au endelea kurusha matusi bila hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…