Hahaha. Ila ameeleweka.Duh kazi ipo. Kingereza kilikuja na meli mkuu we andika kiswahili tu
Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubalozi sio ubarozi
Sijawahi kuona Shirima mjingaUnaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Nakwambia siku hiyo hiyo ata cease kuwa gavana wa DsmAnaweza kwenda pale atakapotengeneza movie feki kuwa ndani ya ubalozi kuna madawa ya kulevya hivyo anakwenda kufanya upekuzi. Kama alivyofanya kwa clouds media. Huyo bogus Bashite anazijua mwenyewe.'in
Hukusikia ndo alikuwa anaendesha makundi ya kiarifu ya kuondoa haki ya kuishi watu wa Irani na Iraq?Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Angeleta ya kusifia ungefaidika nini?Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mleta mada anakuja kula nyumbani kwako?Unaweza kuta hata mchana huu hujala badala yake pesa ya kula ndio umenunulia bando kuleta haya uliyoleta.
Haya sasa nimesoma, umefaidika na nini kwa mfano
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni pale ambapo muuwaji anapomuona muuwaji,muuwaji.Hapa unakiri Makonda ni muuaji ila pia USA ni wauaji pia!!Teh teh teh
Mkuu wako wa nchi hana uthubutu si tu wa kutamka haya uliyoandika bali pia hata kufikiria!Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Hao mashoga wana madhara gani kwa watu ikiwemo wewe,mshindwe kupambambana na ukosefu wa ajira kwa vijana mbashikilia ushoga.Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hahahaaaaaaa...Hizi ni akili za kimaskini sana. Yaani hadi hela za bando tumeanza kuzipigia mahesabu!!
Mkuu kwa maana hiyo kama si ishu ya ushoga makonda asingepata ban?Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Mimi sijakataa hoja zao, lakini nimeonesha hisia zangu huenda kuna jambo la ziada zaidi ya vurugu za Makonda.Mimi nakushauri ungeanza kwa kujibu hoja za mabeberu ouhusu bashite. Wamesema anakiuka haki za binadam. Je ni kweli? Sasa kwenye andiko lako umeonesha ushabiki tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.
Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.
Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.
Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.
Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.
Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Na yale makalio yake hivi hiyo combat ilikaa sawa sawa kweli?
Gavana wa dar huyu kwa nyuma amejaa msambwanda, pembeni kajaa mahips.... yaaani.. kigoli si kigoli... mwali si mwali... dume jike?
Sent using Jamii Forums mobile app