Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Yaani wewe ndiyo unajifanya unaelewa kizungu kuliko watanzania wenzako?
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaweza kwenda pale atakapotengeneza movie feki kuwa ndani ya ubalozi kuna madawa ya kulevya hivyo anakwenda kufanya upekuzi. Kama alivyofanya kwa clouds media. Huyo bogus Bashite anazijua mwenyewe.'in
Nakwambia siku hiyo hiyo ata cease kuwa gavana wa Dsm
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Mkuu wako wa nchi hana uthubutu si tu wa kutamka haya uliyoandika bali pia hata kufikiria!
 
Sasa kumnyima Visa ya kuingia Marekani ndo watazuia juhudi zake na serikali kupiga vita madawa ya kulevya na genge la madawa ya kulevya paomoja na ushoga? Ataendelea tena kwa saana kwasababu amewashika pabaya! Moja ya mikakati ya USA ni kuungana na magenge ya uhalifu wa kimataifa kuzinyongonyeza nchi masikini ili wapore mali na utajiri wa nchi za kiafrica. Moja ya mbinu inayozitumia marekani ni pamoja na kusupport magenge ya madawa ya kulevya kuingizwa katika nchi masikini kuharibu vizazi ili kutengeneza mwanya wa kuzipora rasilimali zao!
Hao mashoga wana madhara gani kwa watu ikiwemo wewe,mshindwe kupambambana na ukosefu wa ajira kwa vijana mbashikilia ushoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.
Mkuu kwa maana hiyo kama si ishu ya ushoga makonda asingepata ban?
Maelfu ya wa2 waliopigwa ban na US duniani kote sababu ni ushoga?
 
Wamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.

Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa raisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.

Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.

Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.

Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania

Maoni ya wadau:
Mimi nakushauri ungeanza kwa kujibu hoja za mabeberu ouhusu bashite. Wamesema anakiuka haki za binadam. Je ni kweli? Sasa kwenye andiko lako umeonesha ushabiki tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijakataa hoja zao, lakini nimeonesha hisia zangu huenda kuna jambo la ziada zaidi ya vurugu za Makonda.

Jiulize kwanini Uganda wamepitisha sheria kali sana za kuwashungulikia mashoga, pia wanafanya vitu kama anavyo tuhumiwa Makonda dhidi ya wapinzani kama akina Robert Kyagulanyi Ssentamu a.k.a Bobi Wine, lakini hawawachukulii hatua kama Makonda?

Mawazo Yangu na Angalizo:
Makonda hafai kuwa raisi wala mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya.
Hafai kazi ya kumuweka mbele ya vipaza sauti au majukwaa sababu hawezi kuchunga kauli zake.
Makonda is not impeccable with his word.
 
Swala la bwana Makonda kula ban abroad linajulikana ni kuhusu kukemea ushoga na kuonyesha nia ya kupambana na madawa ya kulevya.

Msibabaike na vihabari uchwara vya Marekani ya Kaskazini huko hawana jipya dunia inawajua sasa hawana pa kujifichia.

Hata ningekuwa mimi nakuapia ningewanyoosha zaidi ya alivyofanya bwana Makonda kuhusu ushoga na madawa ya kulevya.

Rejea kisa cha bwana El Chap (Raia wa Mexico) kukamatwa na Marekani na jinsi mjinga Marekani alivyotaka kuidanganya dunia kuhusu huyo faza na mikakati yake.

Mwisho sio kwa umuhimu; Ugomvi au kutokuelewana baina ya chama na chama au mtu/ watu na mtu/ watu ndani ya nchi ni sawa na ugomvi wa Mke na Mume ndani ya nyumba hawapaswi Marekani kutuingilia mambo yetu.

Dunia hii ina nchi nyingi sana na nzuri tu za kufanya nazo maisha hata Marekani akijishebedua alale mbele hakuna mtu mwenye time naye mshenzi yule.

Nenda kawaambie wamyowe Kabendera, tito na wenzake

Acheni kutunyanyasa kwa maonezi
 
Back
Top Bottom