Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI



Ban hii si yeye tu hata mke naye amepigwa stop kuingia America, sasa sijui next sindano ya mtoto wa Box ataenda kuwekewa wapi?
 
Kwenda US ni haki ya kibinadamu? Bro najua utakua umeandika kwa jazba na hasira...pengine uweke simu chini upoe kidogo ndio urudi humu. Lasivyo utaishia kutuletea vichekesho vingine hapa na heshima yako utaipaka matope
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.

Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Mh! Haya kazi kwenu majilani mliojenga nyumba za nyasi muwe makini msiuchezee moto
 
Acha kuwatwisha watu mzigo wa kupiga magoti kuombea "Tokoloshe" kama hujui maana kagoogle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biswalo Mganga
Job Ndugai
Lazaro M
Hawa wanastahili kupewa VISA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ujinga mwingine bhana.. Hivi hamjifunzi hata kwa Kagame na Museven?

Nendeni kuandaa namna ya kushinda kwenye sanduku la kura achaneni na hizi kelele za mabeberu.

Wenzenu ccm muda huu wako field kuanda makombora ya kuwamaliza siku ya uchaguzi alafu mtakuja kulialia tena.
Mwisho wa utawala wa kidhalimu wa Meko ndo umekaribia. Wamarekani fanyeni jambo mtuokoe toka mikono ya hawa wauaji wa kisukuma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arv mnatoa china...?? Acha upimbi wewe mzee tulieni sindano iwaingie vuzilela nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikataa kataa vyote , usiweke exceptions.
 
Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..

USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
HAYO NI MANENO YA MKOSAJI. NA BADO NGOJA WABANE MISAADA YOOOTE NDIO MTAJUA USA NINI. HUWEZI CHEZA NA SUPER POWER COUNTRY!!!!!
 
Pompeoo vipi ze lemutuz mutu ya watu nae anaingia ama....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ì
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…