Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nanga katika uboraNa sisi huku tunawazuia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nanga katika uboraNa sisi huku tunawazuia
asingelia alivyonyimwa visa tarehe 20 december FYI KABLA alishaendaga huko akala bata akaturingishia na mapicha na kuna nyingine hii hapa,MABEBERU YANANIFURAHISHA SANA JINSI YANAVYOWALA VIBOGA MATAGA ,NA BADO TUKO PAMOJA NA MABEBERU HADI MWISHO WA MCHEZO
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Twita yenyewe hata huijui unatuchafulia hali ya hewa na povuYatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
Mh! Haya kazi kwenu majilani mliojenga nyumba za nyasi muwe makini msiuchezee motohao mabeberu nyuma ya vivuli vya demokrasia.
Tumeona namna walivyoipa demokrasia Libya na Iraq, pia afghanistan, hatutaki demokrasia yao wabaki nayo.
Acha kuwatwisha watu mzigo wa kupiga magoti kuombea "Tokoloshe" kama hujui maana kagoogleTumeshafika huko tuiombee sana nchi yetu tuvuke salama huu mwaka wa majaribu sana kwetu kama Taifa.
Rais Magufuli na Prof Kabudi wawe makini sana mwaka huu na kauli zao za mdomoni, la sivyo tutaifuta Zimbambwe iliko.
Zile kauli za kujimwambafai ziishe kabisa.
Mwisho wa utawala wa kidhalimu wa Meko ndo umekaribia. Wamarekani fanyeni jambo mtuokoe toka mikono ya hawa wauaji wa kisukuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arv mnatoa china...?? Acha upimbi wewe mzee tulieni sindano iwaingie vuzilela nyieKiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
HAYO NI MANENO YA MKOSAJI. NA BADO NGOJA WABANE MISAADA YOOOTE NDIO MTAJUA USA NINI. HUWEZI CHEZA NA SUPER POWER COUNTRY!!!!!Hawa mabeberu waache kuingilia mambo yetu ya ndani, watuachie uhuru wetu.. Wao nani anawaingilie kwenye mambo yao..
USA hatuendi sio lazima, zipo nchi nyingi za kwenda zenye amani kuliko huko USA wanakouana kila siku..
Pompeoo vipi ze lemutuz mutu ya watu nae anaingia ama....Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
View attachment 1342609
Mimi huwa simpendi huyu Makonda.Ila kama wameamua kumzuia kwa sababu ya ile issue ya mashoga,Mimi nipo pamoja naye.Wabaki na nchi lao
Kwani ye anakupenda?unakua mvivu wa kufikiri na kusoma wapi wameongelea issues za ushoga?
Huyu ni mwakilishi wa Trump ;Trump anakumbatia mashoga?
Sent using Jamii Forums mobile app