nipo baby and thnk you kwa upendo wa kweli inabidi nikupe zawadi sasaππππ
Kweli we jingaletu.... unalinganisha USA kama nchi na huyu shosti wako ambaye kanunua vyeti vya watu?Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Magu na Bashite wanavyopora ni sawa?Hivi kuzuia madawa ya kulevya kwa nguvu zote ndio unakotafsiri kuwanyima watu haki ya kuishi? Yaani kwa busara zako unaona USA watakukatalia visa kwenda kwao kwa kuwa unaongooza vita dhidi ya madawa ya kulevya? Au kukataza ushoga ni kumnyima mtu haki ya kuishi?
Hivi watu mna uziwi wa kiasi gani?
yes endeleaa ni uhuru wake as longer as naweza kulihimili mwache aenjoy maisha ndo hayoNdo maana yule mtot wako wa kiume tunamfukua mtaro kumbe unafurahia kwasababu ni uhuru wake ok sawa ngoja tumuendelezee moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Toba kumbe ndio hivyo yule mtoto kumbe ana balaaukimuua mtu unakua umemnyima haki yake ya kuishi.
UtumboWamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.
Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.
Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.
Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.
Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Hawa wote hakuna cha maana walifanyia nchi zao. Wengi walikufa ama kwa kuuwawa au kwa kupinduliwa. Ndiyo njia unayotaka Magufuli apitie? Wote wameacha nchi zao kwenye mateso makubwa kwa sababu ya kuitunishia msuli USA.Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi
Acha upuuzi wewe, Nyerere, alikuwa nationalist mara mia, hakuwekewa vikwazo wala zuio, sembuse hawa makanjanja, wachumia tumbo,Wamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.
Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.
Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.
Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.
Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Nationalist alikuwa Nyerere tu hao wengine ni mbwembwe za kujinafkisha kwa wanachi, MTU anatembelea V8, Range over anaishi ghorofani anawatukana watz walipakodi unamwita nationalist ni kumkosea MunguWamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.
Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.
Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.
Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.
Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Kwahiyo unataka kusema watanzania ni wajinga hawana wanachoelewa? Kwani kuna shoga aliyeuawa?Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.Huu ndio ushauri wangu kwako:
Hili jambo si dogo na linaweza kuleta madhara makubwa yatakayopelekea kugusa maisha ya watu wengi na kelele zikiianza,basi mwisho wa siku wewe ndio utakaeshuhulikiwa.
Time will tell.
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Stiff necked foolsHuyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Hv hawa watu wanataka nini lakini? Kwa nini wasiache tu iishie hapo walipofika?Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Kwahiyo nchi wanazo ruhusu huo ushoga huwa wananchi wanalazimishwa kuufanya? Ndo maana na wewe unaogopa?Bila shaka wewe ni mmojawapo katika hayo makundi. Madhara yake ni pamoja na AIDS, anal incontinence, vaginal incontinence, anorectal prolapse, uterine prolapse, infertility, erectile dysfunction (impotence), cortical (brain) dysfunction disorder, devial behaviour etc etc
Yupo atakayekubali kurudi?Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585