Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Hivi kuzuia madawa ya kulevya kwa nguvu zote ndio unakotafsiri kuwanyima watu haki ya kuishi? Yaani kwa busara zako unaona USA watakukatalia visa kwenda kwao kwa kuwa unaongooza vita dhidi ya madawa ya kulevya? Au kukataza ushoga ni kumnyima mtu haki ya kuishi?

Hivi watu mna uziwi wa kiasi gani?
Magu na Bashite wanavyopora ni sawa?
 
Wamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.

Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.

Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.

Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.

Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Utumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi
Hawa wote hakuna cha maana walifanyia nchi zao. Wengi walikufa ama kwa kuuwawa au kwa kupinduliwa. Ndiyo njia unayotaka Magufuli apitie? Wote wameacha nchi zao kwenye mateso makubwa kwa sababu ya kuitunishia msuli USA.
 
Wamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.

Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.

Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.

Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.

Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Acha upuuzi wewe, Nyerere, alikuwa nationalist mara mia, hakuwekewa vikwazo wala zuio, sembuse hawa makanjanja, wachumia tumbo,
Yaani hawa majizi, unawalinganisha na Lumumba! Mtu aliyepoteza uhai wake kwa ajiri ya nchi, hawa wamepoteza nini, zaidi wamezidi kuwa na ukwasi wa kutisha,
Mambo "mazuri "wanayofanya Uki yachambua na kuonesha upungufu, hawakujibu kwa hoja, unakula risasi,
Yaani wanamajeshi yote, hazina, wasomi kibao, lakini hawawezi/wanashindwa kutetea hayo mema wanayotufanyia, usipokubaliana nao, shaba inakuhusu!
Chavez, castro, lumumba, Mandela, usiwalinganishe na uchafu ulioutaja hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamarekani na washirika wao hawawezi kukubali kuona nchi maskini ya dunia ya tatu inaongozwa na Nationalist leader kama Magufuli na wenzie waliomtangulia nchi zingine kama akina Thomas Sankara, Patrice Lumumba, Fidel Castro, Hugo Chavez, Eva Morales, Ghadaf, Kim wa NK na wengine wengi.

Kisa cha Makonda ni mapango wa muda mrefu wa kuzuwia uwezekano wa yeye Makonda na wa mfano wa Magufuli kuja kushika nchi baada ya Magufuli.
Huu ni mpango mkakati wa taassisi zao za kijasusi.
Kuchaguliwa kwa Magufuli kuwa rahisi wa Tanzania hawa mabeberu walipigwa chenga ya mwili na akina Mkapa na watu wengine nyeti walio hakikisha vibaraka wa Magharibi wanapigwa chini na Magufuli anakuwa raisi.

Hawakutegemea Magufuli atakuwa raisi, hili ni pigo kubwa sana kwao tena ni kashifa kwa taasisi zao za kijasusi ukizingatia anayo fanya Magufuli kuhusu rasilimali za taifa na mikataba kama ya EPA na AGOA.

Najua sitaeleweka na nitabezwa lakini ipo siku ukweli huu utawekwa wazi na mabeberu wenyewe miaka mingi ijayo kama walivyoweka wazi mkakati wao wa kumuandaa mrithi wa Nyerere.

Akina Kabudi, Kingwangala, na wengine mnao fanana kidogo mitizamo na Magufuli mjiandae kisaikolojia, mtakumbana na mashambulizi mengi sana hadi kufikia 2025 kwa lengo la kuwazuia msije kuwa warithi wa Magufuli.
Beberu sio mtu mzuri kabisa.
Soma hapa Top secret CIA files expose US covert operations in Tanzania
Nationalist alikuwa Nyerere tu hao wengine ni mbwembwe za kujinafkisha kwa wanachi, MTU anatembelea V8, Range over anaishi ghorofani anawatukana watz walipakodi unamwita nationalist ni kumkosea Mungu
 
Huu ndio ushauri wangu kwako:

Hili jambo si dogo na linaweza kuleta madhara makubwa yatakayopelekea kugusa maisha ya watu wengi na kelele zikiianza,basi mwisho wa siku wewe ndio utakaeshuhulikiwa.

Time will tell.
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.
IMG-20200201-WA0194.jpg
 
Bila shaka wewe ni mmojawapo katika hayo makundi. Madhara yake ni pamoja na AIDS, anal incontinence, vaginal incontinence, anorectal prolapse, uterine prolapse, infertility, erectile dysfunction (impotence), cortical (brain) dysfunction disorder, devial behaviour etc etc
Kwahiyo nchi wanazo ruhusu huo ushoga huwa wananchi wanalazimishwa kuufanya? Ndo maana na wewe unaogopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom