Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,153
- 3,800
Hilo siyo jibu la busara. Ina maana umehalalisha kuwa wauwaji kama ambavyo Wamarekani waliua!! Kuwa mnajuana?Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo siyo jibu la busara. Ina maana umehalalisha kuwa wauwaji kama ambavyo Wamarekani waliua!! Kuwa mnajuana?Mbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku
Huyu jamaa aliiweza sana Diplomasia.
Wanamhitaji sasa kuliko wakati wowote uleHuyu jamaa aliiweza sana Diplomasia.
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Daah Wanatupoteza Hawa ndugu zangu...Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Very true, sababu ya kumuondoa ni kwa kuwa alikuwa very calm and humble.Wanamhitaji sasa kuliko wakati wowote ule
Sasa tumevuliwa nguo inabidi tuchutame. Busara za Balozi Mahiga zinahitajika kwakweli.Very true, sababu ya kumuondoa ni kwa kuwa alikuwa very calm and humble.
Nasikia Kabudi alikua anaimezea mate sana hiyo Wizara hivyo most of the time akawa anaongelea mambo ya wizara hiyo na wawekezaji jinsi ambsvyo mwenye wizara anatakiwa kuwabana. Akatengeneza mazingira ionekane anashindwa kuweka sawa maswala ya hawa wawekezaji majizi kwa kuwa entry point na host ni foreign affairs na alikuwa vocal kweli kweli kama mumjuavyo.
Ikabidi mkuu amteue akafanye yale anayoamini yanakwamishwa na wizara
Huu ndio ushauri wangu kwako:
Hili jambo si dogo na linaweza kuleta madhara makubwa yatakayopelekea kugusa maisha ya watu wengi na kelele zikiianza,basi mwisho wa siku wewe ndio utakaeshuhulikiwa.
Time will tell.
JAMAA GANI HUYOWanamhitaji sasa kuliko wakati wowote ule
Nimecheka sana