Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Dr Akili,
Wewe ni Dr akili kweli? Au ni Kinyume chake? Je unafahamu misimamo ya Republican kuhusu LGBT? wewe itakuwa Dr Mwehu!
 
Kama hujui bora ukae kimya?
Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamhitaji sasa kuliko wakati wowote ule
Very true, sababu ya kumuondoa ni kwa kuwa alikuwa very calm and humble.
Nasikia Kabudi alikua anaimezea mate sana hiyo Wizara hivyo most of the time akawa anaongelea mambo ya wizara hiyo na wawekezaji jinsi ambsvyo mwenye wizara anatakiwa kuwabana. Akatengeneza mazingira ionekane anashindwa kuweka sawa maswala ya hawa wawekezaji majizi kwa kuwa entry point na host ni foreign affairs na alikuwa vocal kweli kweli kama mumjuavyo.
Ikabidi mkuu amteue akafanye yale anayoamini yanakwamishwa na wizara
 
Sasa tumevuliwa nguo inabidi tuchutame. Busara za Balozi Mahiga zinahitajika kwakweli.
 
China Urusi, Iran, wakiwekewa vikwazo na USA, uchumi wao unayumba, sasa sisi waswahili wa bongo tunataka kuivimbia USA, mbona tunatafuta balaaa,
Mambo yakichacha zaidi hapa si kabudi atakayeumia, yeye ataendelea kula vizuri wakati wananchi wakawaida wwkiumia,
Msituletee ngonjera zenu,hatuwezi kufurukuta mbele ya USA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kumbe akili za mandezi wa lumumba ndio anazo mpaka waziri!, hivi huyu ilikuwaje akawa waziri wa mambo ya nje asiejua hata kuongea kidiplomasia?! wamarekani wametumia kauli kama; "kuwanyan'ganya watu kadhaa haki yao ya kuishi"
hivi Kabudi akisoma sentensi kama hiyo hajifunzi chochote!

Hii tabia ya viongozi kuropoka ili kumfurahisha bosi wao kwasababu na yeye ni mropokaji hakika itatu-cost kama taifa, watatutumbukiza shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio ushauri wangu kwako:

Hili jambo si dogo na linaweza kuleta madhara makubwa yatakayopelekea kugusa maisha ya watu wengi na kelele zikiianza,basi mwisho wa siku wewe ndio utakaeshuhulikiwa.

Time will tell.
 
Attachments

  • PHOTO-202.jpg
    PHOTO-202.jpg
    62.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom