The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Ile barua haikuandikwa hivyo, imeandika sababu za kumzuia asikanyaje the land of unlimited opportunities. Hii ya ushoga ni ya kwenu wala haihusiani na kilichoandikwa kwenye barua.
Makonda ana nguvu gani za kuzibiti ushoga? Mbona mashoga bado wapo na pia serikali ilimkana hadharani.
Acheni kuhangaika. Makonda mwenyewe ni shoga, miaka 8 ameshindwa kumpa mke mimba hadi ameenda kukopa mbegu za kiume maabara za mwanaume mwingine.