Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Ile barua haikuandikwa hivyo, imeandika sababu za kumzuia asikanyaje the land of unlimited opportunities. Hii ya ushoga ni ya kwenu wala haihusiani na kilichoandikwa kwenye barua.

Makonda ana nguvu gani za kuzibiti ushoga? Mbona mashoga bado wapo na pia serikali ilimkana hadharani.

Acheni kuhangaika. Makonda mwenyewe ni shoga, miaka 8 ameshindwa kumpa mke mimba hadi ameenda kukopa mbegu za kiume maabara za mwanaume mwingine.
 
2244444_tapatalk_1567662891357.jpeg.jpg

Na mashoga wa CCM nao rukhsa
 
Atarudisha watu wake? Hivi huyu zimo kweli?
 
BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.

Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu wewee..
Pompeo hajasema suala la ushoga asilani..
Bashite mwenyewe shoga.
 
Tunawaambia humu toka asubuhi,wenye akili timamu hili lipo wazi hizo zingine ni porojo zenu tu.

Waambieni wampeleke ICC kwa mashitaka ya hizo ngonjera zenu akawaumbue.
 
Back
Top Bottom