macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hizi unasema ni tuhuma (sikatai kuwa jamaa ni mchafu na corrupt sana). Lakini kisheria/kikatiba hawezi kuwa yeye ndiye mwajibikaji/mwajibishwaji kwa tuhuma walizotoa.Wangeanza/wangejumuisha na viongozi wa vyombo vya usalama kama ndiyo hivyo.Upo Tanzania? Unafikiri ubavu wa kuamrisha FFU anaupata kwa ukuu wa mkoa? Unakumbuka suala la Nape? Na Makonda kuwa Dodoma kwa kushangaza siku ya jaribio la kumuua Lisu? Na kwa nini panga pangua na vyeti fake bado mliambiwa haondoki Dar? Mahela anayopata ya ofisi na kugawa unafikiri ndio bajeti ya Wakuu wa mikoa? Ulishaenda ofisi ya Makonda ukaona ilivyo? Unganisha doti.
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Jamani jaribuni kunielewa. Mimi hata siku moja sikatai kuwa jamaa anatumia madaraka vibaya, ni msanii na hakuna kazi yoyote anayofanya zaidi ya kujionyesha, na pia amelewa madaraka. Issue yangu ni kuwa pamoja na haya madhambi yoooote asingekuwa ameropoka suala la ushoga wala wasingemgusa.Hukuona jinsi alivyovamia clouds na mtutu wa bunduki?Issue ni abuse of power,hatujui mengine ni yapi ambayo USA wana ushahidi nayo!Huenda wamenasa hata walioorganize shambulio la Lissu au watu wengine!
KABUDI HANA AKILI KABISA . HUYU JAMAA NI BOMULol, “tutawachukua”
As if hao raia wanataka kurudi.
Nikiwa mmoja wa hao raia nasema hata kwa juju sirudi kwenye upuuzi unaofanyika Tanzania. Eti makonda akawe kiongozi wangu wakati nna akili mara mia zaidi yake. Ja!
Huku sasa ni kujishuku ujinga wewe mwenyewe na usijaribu kuchanganya neno watanzania! Hizi statement za kutoa conclusion ambazo wala mtu hakusema tumezizoea sana wabongo!Kwahiyo unataka kusema watanzania ni wajinga hawana wanachoelewa? Kwani kuna shoga aliyeuawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa namna alivyotoa lile tamko kwa pupa na kutangaza vita naweza kusema kabisa ndiyo kiongozi wa kwanza wa seriakali kutangaza vita vya aina ile kwa mashoga hadharani.
Aacheni ujngaBBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maelezo waambie BBCCCM mnajua kutufunga magoli, ndiyo maana mnatupa bora elimu bure ili tuzidi kudumaa. Pompeo ameandika wazi kuwa Paul Makonda anazuia haki ya binadamu kuishi.
Huo ushoga mbona Museveni na Uhuru Kenyatta wanaupinga lakinihawajapigwa pini ya kwenda duniani. Tunashukuru agile zadini kutufundisha this is apple tumeweza kumuelewa Pompeo.
Taarifa Rasmi ilitolewa na pompeo na USA, hiyo ya waandishi wa habari ipeleke FacebookBBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app