The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
CCM mnapeda Sana ushoga
Come again???Deny life si kuua kama wengi wanavyoliweka. Ni kuzuia watu kufanya mambo yao kwa uhuru watakavyo kama ushoga nk.
BBC ndiyo imemzuia kuingia marekani?
Here I am.Come again???
Its fakeHuyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Rudi shule!Here I am.
Pumbavu wewee..BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi
Rudi shule!
Wewe Shoga watukane BBCPumbavu wewee..
Pompeo hajasema suala la ushoga asilani..
Bashite mwenyewe shoga.
Ngoja nikusaidie mkuu nimwekee link. Ha ha ha ha. Harafu watu wameanishwa denial right to life ni kuua. Kumbe nikuzuia watu kufanya maisha yao ya kawaida ya ushoga.
Anaota🤣🤣
Unawezaje ukaja mahali kama hapa kumtetea mtu muuwaji kama Bashite..??
Amekuuwa?Unawezaje ukaja mahali kama hapa kumtetea mtu muuwaji kama Bashite..??
Unamiminwa kweli wewe.