Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kwahiyo BBC siku hizi ni mali ya CCM? Basi hapo CCM nimeikubali!
 
Mkuu, wavumilie tu wengine lugha inawasumbua.

Mbona maelezo yako wazi tu.

Kwa wamarekani haki za binadamu ni pamoja na kufanya mapenzi ya jinsia moja.
Makonda kuwa kinara wa kupiga vita ushoga na mashoga iliwakera mabeberu. Sasa wameamua kumzuia.

BBC wameripoti taarifa ya serikali ya USA.

Kuichukia BBC au mleta uzi hakubadili ukweli kuwa mabeberu wameshafanya yao.
 
Kwanza hiyo ni tafsiri yako, pili unataka kutuambia Marekani ni taifa la Mashoga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!
Jitahidi uwe unaficha upumbavu wako,we already know that you're a dumb shit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…