kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo wapi Ben Saanane?Mnapotoa hizo tetesi mjitahidi kuwa consistent. Mara Mikocheni. Mara boti ilionekana inaelekea kisiwani. Mara simu yake mara ya mwisho mtandao ulionekana wa Tabata. Ipo siku mtaitaja Ufipa tu!
What are you smoking?Pumbavu zenu! Sasa akapige magoti? Tumefanya nini ambalo ni kosa? Wametoa tuhuma za jumla hakuna ushahidi wowote. Hao USA ni miungu? Kongole prf kabudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo BBC siku hizi ni mali ya CCM? Basi hapo CCM nimeikubali!CCM mnajua kutufunga magoli, ndiyo maana mnatupa bora elimu bure ili tuzidi kudumaa. Pompeo ameandika wazi kuwa Paul Makonda anazuia haki ya binadamu kuishi.
Huo ushoga mbona Museveni na Uhuru Kenyatta wanaupinga lakinihawajapigwa pini ya kwenda duniani. Tunashukuru shule zadini kutufundisha this is an apple tumeweza kumuelewa Pompeo.
Muulize mtoa post.
Mkuu, wavumilie tu wengine lugha inawasumbua.Ngoja nikusaidie mkuu nimwekee link. Ha ha ha ha. Harafu watu wameanishwa denial right to life ni kuua. Kumbe nikuzuia watu kufanya maisha yao ya kawaida ya ushoga.
![]()
Tanzania 'anti-gay' force official Paul Makonda banned from US
Paul Makonda launched a surveillance squad dedicated to hunting down gay people in Dar es Salaam.www.bbc.com
Nadhani familia yake imebakia kuchukua Death certificateKwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!
Kwanza hiyo ni tafsiri yako, pili unataka kutuambia Marekani ni taifa la Mashoga?BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi uwe unaficha upumbavu wako,we already know that you're a dumb shit.Kwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!
Fake news hyoLol, “tutawachukua”
As if hao raia wanataka kurudi.
Nikiwa mmoja wa hao raia nasema hata kwa juju sirudi kwenye upuuzi unaofanyika Tanzania. Eti makonda akawe kiongozi wangu wakati nna akili mara mia zaidi yake. Ja!
Unataka ushahidi? Utaukubali ukitolewa maana wenyewe wamesema wazi kuwa wanao, Ni swala la nyie kuutaka TU na wao watauachia publicPumbavu zenu! Sasa akapige magoti? Tumefanya nini ambalo ni kosa? Wametoa tuhuma za jumla hakuna ushahidi wowote. Hao USA ni miungu? Kongole prf kabudi
Sent using Jamii Forums mobile app