Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Yaani mtu anakaa kwenye lile ghala pale ufipa anaandika vimaneno alafu anajiita Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app

Au ulikuwa upo usingizini ukakurupuka ? Hata makonda kilichomponza ni kiherehere na uropokaji, sababu tabia ya uropokaji ikipitiliza unajikita unasema vitu irrelevant alafu vinakuwa na negative impact kwa jamii ndio kama ivi saivi ametuponza....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii semina ya kuambizana mueneze hoja ya ushoga kwenye mitandao ya kijamii kwamba ndo sababu mmeipiga kwa siku ngapi na mmelipwaje jomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwnyw unahisi umeandika vitu vya maana.

Maskini kumbe chenga za ulezi
Endelea na akili zako za Bashitelism na Chatolism
 
Kwahiyo unakiri hadharani kwamba Makonda ameua watu kama Marekani ilivyofanya kwa jenerali wa Iran ?
A crackdown on freedom of expression has been on the rise since President John Magufuli came into office in 2015.

Human rights groups also accuse Mr Magufuli of repressing political dissent, detaining human rights activists, and muzzling the media.
 
Hamna cha kupoteza lakini 20/12/2019 RC alipopata refusal ya kuingia USA machozi yalimtoka.
 
Ina maana makonda amewahi kuwa? Alimuuwa nani ? Hii dunia ina siri sana . lakini mwisho wa siku Mungu akiamua kukuumbua anakuumbua.
 
Hakuna siku niliyofurahi Kama hii baada ya US secretary of state kum blacklist Makonda Kama mtu hatari asiyetakiwa kukanyaga ktk taifa hilo kubwa Duniani kuliko yote..
Ni Makonda amekuwa akitumia madhabahu za Kanisa la Mungu kujifanya kwamba yeye ni mcha Mungu kumbe ni mtu aliyejaa uovu wa kila aina .
CIA wana ushahidi wote jinsi Makonda alivyohusika ktk mission ya mauaji ya Ben Saanane na jaribio la mauaji ya Tundu Lissu yaliyofeli .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika ktk kutengeneza Photoshop video ya kumchafua Mtumishi wa MUNGU Gwajima .
CIA wana ushahidi wote jinsi alivyohusika na mauaji ya mamia ya watu waliokuwa wakitoswa Baharini na mto Ruvu .
Lakini lengo la Marekani siyo Makonda, bali mfadhili wake, huyu ndiye hasa wanayemtafuta kwa udi na uvumba..
Tumemwomba sana Mungu ili Haya mambo yafike tamati, hatimaye muda umefika sasa. ..
Moto umewaka, taratibu utaunguza kila kilichokusudiwa.
Nimeshaandika mara nyingi humu kuwa Damu isiyo na hatia inamlilia Mungu ikidai kisasi.
Damu ya Azory Gwanda, Damu ya Alphonce Mawazo, Damu ya Ben Saanane na wengine wengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A crackdown on freedom of expression has been on the rise since President John Magufuli came into office in 2015.

Human rights groups also accuse Mr Magufuli of repressing political dissent, detaining human rights activists, and muzzling the media.
 
Habar mpya iko wap hiyo hadi tuache kazi tuje huku...bashite si habar mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…