Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P

Hata wewe unajua America haikuitaji ila serikali bila America hamna kitu ilo ni wazi kabisa..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.

Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Umeandika ukimaanisha au its Sarcasm tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi

Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute Le mutuz kaa nae bar mpe mwanamke akufanyie uchunguzi utapata siri zote za Daud Bashite kupitia kwa Le mutuz kwani huwa mdhaifu sana pindi akiona mwanamke mrembo
 
Sidhani ni kwasababu ya ile issue. Maana ile ilitokea muda mrefu uliopita na DAB ashaenda marekani mara kadhaa baada ya lile sakata. Huyu lazma CIA wamegundua mauchafu ambayo wamechagua kutoweka hadharani ila serikali itakua imejulishwa. Ndio maana wamesema tu "human rights violations".

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu yao kubwa ni kunyanyasa makundi maalumu,ambayo mimi tafsiri yangu ya hayo makundi maalumu ni mashoga
 
Marecan Nasema Msimtishe Mkuu Wetu Narudia Tenaa Msimtishe

Nikiwa Kama Waziri Wamambo Ya Nje Wa China Namualika Mhe Makonda Nakumpa Uraia Kbs Gharama za Chakula Malazi Usafiri Na Pesa Ya Mtumizi Atapatiwa

NAKUWAKOMOA ATAKUJA NA Private Jet

Welcome China Mkonda Achana Na Marecan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom