Taratibu vyombo ya dola vitaacha kutekeleza maagizo ya kisiasa, Jiwe atakosa nguvu ya kubomoa wapinzani wake, mwisho wake utakuja hata ndani ya ccm.kuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu vyombo ya dola vitaacha kutekeleza maagizo ya kisiasa, Jiwe atakosa nguvu ya kubomoa wapinzani wake, mwisho wake utakuja hata ndani ya ccm.kuna majina mengine matano , mawili kutoka bungeni moja kutoka Polisi , mawili siyataji .
Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Bado hujajibu swali hata moja!
CC:Wakudadavua
CC:Magonjwa Mtambuka
CC:Kipara Kipya
Habari ziwafikie kutoka mariiikaaaniii
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile appTutolee ujinga wako bado bablai hamuwezi kutesa taifa dunia iwaangalie
Umeandika ukimaanisha au its Sarcasm tu?Kiukweli hawa mabeberu Wamarekani ni washenzi sana!, Wanamuonea bure Makonda tena kwasababu safari za Makonda US ni safari binafsi za yale mambo ya kifamilia, kumzuia Makonda kuingia US ni ukiukwaji wa haki ya msingi ya binaadamu.
Wito kwa Rais Magufuli, toa waraka hakuna kiongozi yoyote wa serikali yako ataomba Visa kuingia US, wanataka kutudhalilisha tuu, kwani Marekani ndio nini?. Twende China!.
To hell with America!.
Let's say no to American with their filthy blood stained, stinking money except " kwa msaada wa watu wa Marekani" zikiwemo ARV.
P
Tamko kalitoa lini?Issue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashoga mnashangilia sasa mmepata chance ya kutatuliwa marinda yenu vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafute Le mutuz kaa nae bar mpe mwanamke akufanyie uchunguzi utapata siri zote za Daud Bashite kupitia kwa Le mutuz kwani huwa mdhaifu sana pindi akiona mwanamke mremboIssue ya Kuzuiwa Makonda inatokana na Tamko lake la kuzuia Mashoga sio blaablaa zisizo na ushahidi
Kwa US tamko lile ni kinyume cha haki za Binadamu sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
BarikiwaTaratibu vyombo ya dola vitaacha kutekeleza maagizo ya kisiasa, Jiwe atakosa nguvu ya kubomoa wapinzani wake, mwisho wake utakuja hata ndani ya ccm.
Wasukuma ni bhalele sana.Wamepata vyeo wameota mapembe.Serikali ya magufuri inavuna ilichopanda
Wasukuma wote tunaonekana wakuda kwa ukuda wa wasukuma wawili tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu yao kubwa ni kunyanyasa makundi maalumu,ambayo mimi tafsiri yangu ya hayo makundi maalumu ni mashogaSidhani ni kwasababu ya ile issue. Maana ile ilitokea muda mrefu uliopita na DAB ashaenda marekani mara kadhaa baada ya lile sakata. Huyu lazma CIA wamegundua mauchafu ambayo wamechagua kutoweka hadharani ila serikali itakua imejulishwa. Ndio maana wamesema tu "human rights violations".
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakuwa maajabu ya 8 ya dunia yaani pompeo atumie muda wake kabisa aandike kuhusu bashite-utakuwa anafanya upumbavu wa karne na kujiaibisha.
Utoto mwingine bana Dah, ndo akili yako inakutuma hivyo?😀Nategemea kusikia kesho Balozi wa Tanzania nchini Marekani karejea Tanzania na wa Marekani nchini Tanzania kareja Marekani.