Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

Jitahidi usikae kimya huenda "Baba" akirejea atakukumbuka na wewe kwa mara nyingine maana tumetangaziwa panguapangua. Ongeza sauti ya zumari.
 
Sio umbea bali tunauliza swali tu yupo hayupo? amekufa hajafa?
 
Ni nyumbu tu ndo wanamuombea mabaya, CCM hatutaki aondoke hadi 2040.
 
haya yote wewe pia ni mhusika mkuu wa uvunjaji amani ya nchi hii na meko wako na bora amekupumzisha ulikuwa kichefuchefu hata kwa kina KATELEFONE walikuchukia sana mana ulijifanya NAIBU RAHISI
 
Mtu muovu kama huyu anahubiri vipi upendo,ye ni nani katika nchi hii hali hana hata amri ya kuamuru mgambo akamate mtu amri aliyobaki nayo zaidi labda kuamrisha mke wake
 
Hii mpelekee kule kule insta,twt na fcbook akutane na sindano zake.

Huku ameacha kupitia. Na hakuna wa kumpelekea haya majibu ya umbea wake.
 
Yeye atulie alee yale mabroiler yake,kama hela alishapiga ndefu tu asitupigie kelele.
 
Ukiwa madarakani Mungu MTU ukitoka balozi wa upendo....
 
Sa si watangaze tu😡😡😡😡😡
 
Makonda sikushangai kuongelea hayo kwa sababu upstairs ni mtupu, Jitu lililoua watu, jitu lililoshiriki matendo ya unyanganyi wa mali za watu, leo hii linaongelea upendo?
Huyu ndo anasemekana alihusika na kupanga au kumpiga Tundu Lissu risasi 18. Leo ataongeaje upendo. Bado zamu yake. Yakimoata ya babaye watu watakunywa bia mpaka asubuhi!
 
Wewe kajifunze angalau kuandika basi ndugu yangu. Hii dunia unaishije kama hata kuandika kiswahili tu huwezi?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwani jamaa bado kimya tuu!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…