Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Kumbe baharia yupo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyumbu tu ndo wanamuombea mabaya, CCM hatutaki aondoke hadi 2040.Ningekuwa mimi kwa jinsi watanzania walivyoonyesha kunichukia kwa wiki hizi kadhaa ambazo sikuonekana, basi ningejiuzulu nikiwa hukohuko mafichoni. Hii siyo ishara njema kwa kiongozi, wala unaowaongoza hata wangekuwa wachache kiasi gani kusherehekea japo uvumi tu wa matatizo yangu.
haya yote wewe pia ni mhusika mkuu wa uvunjaji amani ya nchi hii na meko wako na bora amekupumzisha ulikuwa kichefuchefu hata kwa kina KATELEFONE walikuchukia sana mana ulijifanya NAIBU RAHISIAnaandika Paul Makonda katika mitandao ya kijamii
Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbeya, Majungu na Uongo. Na hata kama hakuna habari mbaya bado tunalazimisha tu ziwepo. Unaambiwa kabisa siyo kweli we bado unabisha tu ulazimishe ni kweli. Ona sasa ukitumia akili kidogo tu utagundua hata safari zinazosemwa ni za Utalii na wala siyo Matibabu. Ndani ya siku mbili ameingia Kenya [emoji1139] Nairobi hospital ndani ya siku mbili hizo hizo kafikishwa South Africa [emoji1221] ndani ya hizo siku yuko India [emoji1128] na sasa Germany [emoji629]. Haya ni matibabu au Utalii. Ebu tuombeane Mema, ebu Tamani jambo jema kwa Mwenzako, huu ni wakati wa ku share habari njema na wala siyo kuongeza hofu na taaruki. Ebu tuombee familia zetu, ebu kila Mtu atafakari mahusiano yake binafi na Mungu, ebu wajulie hali ndg zako walioko vijijini na kama unanjia ya kuwasaidia ebu fanya jambo la kuwapa faraja ikiwezekana tafuta hata watu uliosoma nao wajulie hali Badala ya kupoteza bando lako kusambaza na kuulizia uzushi.Biblia inasema Shetani ni baba wa uongo, nina wasiwasi atakuwa na Watoto TANZANIA [emoji1241]
My Take
Nami naungana na Paul Makonda kukemea chuki na uongo. Ila kabla sijakemea nina mambo ya kuhoji.
1. Mbona mwahubiri upendo kwa baadhi ya watu tu? Humuoni kama mnaushangaza huo upendo na ndio maana umetoweka? Ulikuwa wapi upendo dhidi ya Ruge Mutahaba na Clouds Media ulioivamia na silaha za moto? Wewe Makonda umetajwa kwenye matukio mengi maovu ambapo baada ya kuondoshwa yalipungua. Ushahidi ni wewe kupigwa marufuku kuingia Marekani kwa kilichotajwa kukiuka haki za binadamu.
Upendo huo umekujia lini?
Unakumbuka kipindi cha vyeti feki, wakatumbuliwa wengi wewe ukaachwa. Upendo ikawa kwako tu. Hapo mlipanda chuki kiasi gani?
2. Mbona mwakataza uzushi kwa baadhi ya watu fulani tu. Pale anapozushiwa Mbowe kafa inakuwa sawa. Akizushiwa Lissu ni shoga inakuwa sawa,maana hatuwaoni mkikemea. Ila wakizushiwa wengine ndio noma yaani. Hamuoni kama mnaushangaza uzushi ndio maana unaamua kuwafanyia wehu? Wewe Makonda ulimzushia mtoto wa Mbowe ana korona. Nasema ulimzushia kwa sababu wewe hukuwa daktari. Unakumbuka ulipomzushia mzee Lowasa kuwa ametelekeza binti huko Kigamboni? Ukatengeneza movie kibao, hatujui ziliishia wapi.
Kabla ya hapo uliwazushia kina Mbowe madawa ya kulevya,kiko wapi?Mahakama ipi ikiwatia hatiani? Unakumbuka mlivyokuwa mnazushiana na Askofu Gwajima? Haaa haaa
Sasa imekuwa zamu ya dad kuzushiwa.
Siwatetei wazushi na wachuki ila nasisitiza Tupande amani na upendo kwa kila mtu, tupande haki na wajibu kwa kila mtu,halafu tusubiri kiangazi. Ila kwa sasa tunavuna tulichopanda. Usikute hata wewe wanakusubiri kwa hamu, ukutwe na baya wanywe bia.
HUYO HAPO NA KAJA NA BALOZI WETU KAMFUFUANafikiri ili wadhalilike vizuri ngoja atoke hadharani
AkiRejea toka wapi tena?Nimekutana na mtumishi wa Serikali ananiambia hata asipoRejea mambo yatakuwa mazuri tu."Baba" akirejea
Hii mpelekee kule kule insta,twt na fcbook akutane na sindano zake.Anaandika Paul Makonda katika mitandao ya kijamii
Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbeya, Majungu na Uongo. Na hata kama hakuna habari mbaya bado tunalazimisha tu ziwepo. Unaambiwa kabisa siyo kweli we bado unabisha tu ulazimishe ni kweli. Ona sasa ukitumia akili kidogo tu utagundua hata safari zinazosemwa ni za Utalii na wala siyo Matibabu. Ndani ya siku mbili ameingia Kenya [emoji1139] Nairobi hospital ndani ya siku mbili hizo hizo kafikishwa South Africa [emoji1221] ndani ya hizo siku yuko India [emoji1128] na sasa Germany [emoji629]. Haya ni matibabu au Utalii. Ebu tuombeane Mema, ebu Tamani jambo jema kwa Mwenzako, huu ni wakati wa ku share habari njema na wala siyo kuongeza hofu na taaruki. Ebu tuombee familia zetu, ebu kila Mtu atafakari mahusiano yake binafi na Mungu, ebu wajulie hali ndg zako walioko vijijini na kama unanjia ya kuwasaidia ebu fanya jambo la kuwapa faraja ikiwezekana tafuta hata watu uliosoma nao wajulie hali Badala ya kupoteza bando lako kusambaza na kuulizia uzushi.Biblia inasema Shetani ni baba wa uongo, nina wasiwasi atakuwa na Watoto TANZANIA [emoji1241]
My Take
Nami naungana na Paul Makonda kukemea chuki na uongo. Ila kabla sijakemea nina mambo ya kuhoji.
1. Mbona mwahubiri upendo kwa baadhi ya watu tu? Humuoni kama mnaushangaza huo upendo na ndio maana umetoweka? Ulikuwa wapi upendo dhidi ya Ruge Mutahaba na Clouds Media ulioivamia na silaha za moto? Wewe Makonda umetajwa kwenye matukio mengi maovu ambapo baada ya kuondoshwa yalipungua. Ushahidi ni wewe kupigwa marufuku kuingia Marekani kwa kilichotajwa kukiuka haki za binadamu.
Upendo huo umekujia lini?
Unakumbuka kipindi cha vyeti feki, wakatumbuliwa wengi wewe ukaachwa. Upendo ikawa kwako tu. Hapo mlipanda chuki kiasi gani?
2. Mbona mwakataza uzushi kwa baadhi ya watu fulani tu. Pale anapozushiwa Mbowe kafa inakuwa sawa. Akizushiwa Lissu ni shoga inakuwa sawa,maana hatuwaoni mkikemea. Ila wakizushiwa wengine ndio noma yaani. Hamuoni kama mnaushangaza uzushi ndio maana unaamua kuwafanyia wehu? Wewe Makonda ulimzushia mtoto wa Mbowe ana korona. Nasema ulimzushia kwa sababu wewe hukuwa daktari. Unakumbuka ulipomzushia mzee Lowasa kuwa ametelekeza binti huko Kigamboni? Ukatengeneza movie kibao, hatujui ziliishia wapi.
Kabla ya hapo uliwazushia kina Mbowe madawa ya kulevya,kiko wapi?Mahakama ipi ikiwatia hatiani? Unakumbuka mlivyokuwa mnazushiana na Askofu Gwajima? Haaa haaa
Sasa imekuwa zamu ya dad kuzushiwa.
Siwatetei wazushi na wachuki ila nasisitiza Tupande amani na upendo kwa kila mtu, tupande haki na wajibu kwa kila mtu,halafu tusubiri kiangazi. Ila kwa sasa tunavuna tulichopanda. Usikute hata wewe wanakusubiri kwa hamu, ukutwe na baya wanywe bia.
Makonda anaMipasho kama mwanamke wa uswahilini,Tandale kabisa! 🤣Hii mpelekee kule kule insta,twt na fcbook akutane na sindano zake.
Huku ameacha kupitia. Na hakuna wa kumpelekea haya majibu ya umbea wake.
HUYO HAPO NA KAJA NA BALOZI WETU KAMFUFUA
Huyu ndo anasemekana alihusika na kupanga au kumpiga Tundu Lissu risasi 18. Leo ataongeaje upendo. Bado zamu yake. Yakimoata ya babaye watu watakunywa bia mpaka asubuhi!Makonda sikushangai kuongelea hayo kwa sababu upstairs ni mtupu, Jitu lililoua watu, jitu lililoshiriki matendo ya unyanganyi wa mali za watu, leo hii linaongelea upendo?
Wewe kajifunze angalau kuandika basi ndugu yangu. Hii dunia unaishije kama hata kuandika kiswahili tu huwezi?Mkuuu mm ujumbe wako nimekusoma na nimekuelewa ila maswala ya uzushi kuhusu upande wa pili namanisha kwenu chadema mnauisha nyie,amlitoa lawama kuhusu Tunduru kupigwa lisasi mkasema mnaushaidi mtautoa adharani ila mkapiga kimya mpaka sasa,Mbowe alikunywa faru John mkasema amevamiwa amepigwa na wasiojulikana, ila sio kweli, yaani ni mengi mnazusha tu kuliko kujenga hoja tukawaamini!