Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

Jamaa anajitafuta upya, kwa hii porojo moja tu 'zirairi' asipofanya kweli basi Bashite atalamba uteuzi.
 
Hii post ya Makonda inatakiwa iwaambie kua kila kilichosemwa hakipo hivyo.
 
Watu wanavumisha sana,wengine wanavumisha eti shamwaa air cargo ni ya kigogo..
 
Kwa hiyo hii habari yote kuhusu Jiwe ni Umbeya,Uzushi na Uongo?Kama hivyo mbona huku kitaa watu wanasherehekea.Kumbe ni UZUSHI?
 
Mithali 11:10 SUV
Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele za shangwe.

Warumi 13
1 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.
3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu.
4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka
 
Mbona wao wanatudanganya uchumi unakua na mtaani huko hali mbaya hadi Membe akasema chama chake wanashindia mihogo...
 
Makonda atulie tu aendelee kumlea keagan nyumbani ashatemwa
 
Back
Top Bottom