Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

Usiangalie wangapi wanapinga maana hata galileo alipingwa sana na watu ila mwisho ilikuja kufahamika kuwa alikuwa sahihi na walio wengi ndio walipotoka.
Maoni yaliyo negative ni reflection ya watu kutokuelewa ulichoandika .

Galileo Galilei ni mwanasayansi alipokuja na theory yake kuhusu umbo la dunia alikuja na evidence zake.

Sasa wewe unaweza kutupa evidence za huyo zero brain anaenda kutetemesha hiyo mikoa wakati watu wanapitia mgao wa maji na umeme , gharama za maisha zinawapiga, wajawazito wanafariki kwa kukosa pesa za upasuaji na mnawadanganya kujifungua ni bure.
 
Hawezi kutoa majibu ya hili maana yuko kama bot lililokuwa programmed kusifia tu mada mtambuka na zenye kugusa ustawi wa watu haoni umuhimu.
 
Lazima wakulipe,makonda mwenyewe
Anachukua maokoto

Ova
 
Sasa wewe kaa kwa kubweteka uwe unaangalia mishahara ya watu tu .tangia lini mshahara ukamtosha mtu? Ndio maana watu wanafanya uwekezaji kwenye shughuli zingine na siyo kusubiri mshahara kupatia maendeleo na kujenga vitega uchumi mbalimbali.
Haha

Ova
 
Kwani marufuku ya makonda kwenda huko marekani,imefutwa??
 
Kwishaaaaaa hbr yake huyo kondakta wenu , ataishia kuzurula tu na kutoa matamko yasiyowezekana
 
Makonda!! Makonda baba!! Makonda baba!! Nakuita mara, tatu baba!! Anza kaz,mara, moja na uwashughulikie vizuri sana mafisadi na watoa taarifa.
 
Mimi sina njaa hata kidogo ndugu yangu.mimi ni mkulima na nina kula kwa jasho langu mwenyewe na siyo kulishwa au kutegemea misaada
Mwashambwa jitahidi kuwa mkweli wa nafsi yako. Hakuna mtu mwenye uhakika wa maisha yake anayeweza kudhalilisha nafsi yake kama unavyofanya.
 
Ninyi vipofu wa akili hata mkipewa ushahidi kama ambavyo nimekuwa nikiwapa bado mtaendelea kupinga tu bila hoja
 


Aimlessly barking dog
 
We msukuma VP?Sema unamsubiria ww.
 
Huyo ni takataka, dhulumati wa jengo la GSM, magari ya watu, na marekani wamem blacklist kwa kudhulumu haki ya kuishi
Ndo huyo Sasa anakuja huko kwenu Katavi!! Tega sikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…