Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

Paul Makonda kuitetemesha na kuitikisa mikoa kumi mfululizo bila kupumzika

Tuwe na moyo na utamaduni wa kuwatia moyo na kuwapongeza viongozi na watu wanaofanya kazi vizuri katika kututumikia watanzania.maana wachapa kazi aina ya Mh Makonda ni wachache sana .hivyo hawa wachache hatuna budi kuwaunga mkono.
Nadhani watu wametofautiana tafsiri ya huo uchapakazi. Unachokiona wewe ni sahihi kwa mwingine ni tofauti

Ila lucas una consistence yani hadi tone na maandishi ni yale yale ukiwa unajibu comments, CCM wakuone maana umeuvaa uhusika hadi uhusika nao umekuvaa
 
Acha dharau na utoto. Hata hivyo nakusamehe tu maana najuwa nayo ndio akili yako ilivyo
Nimekudharau wapi au wewe ndio unajidhalilisha Mitandaoni kuombaomba wewe unafikiri Familia ya Ben Saanane inakuonaje?

Njoo nikufungulie M-PESA uende Choo bila kudhalilika.
 
Back
Top Bottom