Eyce JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 7,185 Reaction score 24,330 Jan 29, 2024 #161 Lucas mwashambwa said: Tuwe na moyo na utamaduni wa kuwatia moyo na kuwapongeza viongozi na watu wanaofanya kazi vizuri katika kututumikia watanzania.maana wachapa kazi aina ya Mh Makonda ni wachache sana .hivyo hawa wachache hatuna budi kuwaunga mkono. Click to expand... Nadhani watu wametofautiana tafsiri ya huo uchapakazi. Unachokiona wewe ni sahihi kwa mwingine ni tofauti Ila lucas una consistence yani hadi tone na maandishi ni yale yale ukiwa unajibu comments, CCM wakuone maana umeuvaa uhusika hadi uhusika nao umekuvaa
Lucas mwashambwa said: Tuwe na moyo na utamaduni wa kuwatia moyo na kuwapongeza viongozi na watu wanaofanya kazi vizuri katika kututumikia watanzania.maana wachapa kazi aina ya Mh Makonda ni wachache sana .hivyo hawa wachache hatuna budi kuwaunga mkono. Click to expand... Nadhani watu wametofautiana tafsiri ya huo uchapakazi. Unachokiona wewe ni sahihi kwa mwingine ni tofauti Ila lucas una consistence yani hadi tone na maandishi ni yale yale ukiwa unajibu comments, CCM wakuone maana umeuvaa uhusika hadi uhusika nao umekuvaa
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jan 29, 2024 #162 Lucas mwashambwa said: Acha dharau na utoto. Hata hivyo nakusamehe tu maana najuwa nayo ndio akili yako ilivyo Click to expand... Nimekudharau wapi au wewe ndio unajidhalilisha Mitandaoni kuombaomba wewe unafikiri Familia ya Ben Saanane inakuonaje? Njoo nikufungulie M-PESA uende Choo bila kudhalilika.
Lucas mwashambwa said: Acha dharau na utoto. Hata hivyo nakusamehe tu maana najuwa nayo ndio akili yako ilivyo Click to expand... Nimekudharau wapi au wewe ndio unajidhalilisha Mitandaoni kuombaomba wewe unafikiri Familia ya Ben Saanane inakuonaje? Njoo nikufungulie M-PESA uende Choo bila kudhalilika.