Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Mwaka 20230, atakuwa bado yupo hai kweli?
 
Anawafaa kwenye nini?
 
Watanzania wanaongoza Afrika kwa ujinga.
 
Akili za kuvukia barabara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…