Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Anakufaa wewe mjinga na wenzako ila Kwa sio Kwa wenye akili
 
Hafai labda uenyekiti wa mtaa wa kolomije
 
Huyu n Huyu ni angalau anasema ukweli, ni wanaccm wangapi wanafanya kama ambavyo Paul anafanya, ni kwa sb b hasemi, viongozi wengi wanakwepa kodi, Rushwa, matumizi mabaya ya nafasi
 
Huyu n
Huyu ni angalau anasema ukweli, ni wanaccm wangapi wanafanya kama ambavyo Paul anafanya, ni kwa sb b hasemi, viongozi wengi wanakwepa kodi, Rushwa, matumizi mabaya ya nafasi
Hakudhamiria kusema ukweli kausema kwa bahati mbaya na akijua kuwa hata aliowambia hawataelewa na kuona kosa hilo.
 
Ni k
Hakudhamiria kusema ukweli kausema kwa bahati mbaya na akijua kuwa hata aliowambia hawataelewa na kuona kosa hilo.
Kweli anamapungu yake, lakini yeye ukilinganisha na vijana wengine wa ccm, yeye angalau anauthubutu wa kufanya mamuzi magumu
 
Ni k
Kweli anamapungu yake, lakini yeye ukilinganisha na vijana wengine wa ccm, yeye angalau anauthubutu wa kufanya mamuzi magumu
Kufanya maamuzi magumu ambayo ana maslahi nayo.
profesa Lumumba alisema kweli, kuwa africans tunakuwa obsessed na watu wanaoongea sana tu wanaojua PR.
 
Kufanya maamuzi magumu ambayo ana maslahi nayo.
profesa Lumumba alisema kweli, kuwa africans tunakuwa obsessed na watu wanaoongea sana tu wanaojua PR.
Masilai ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…