Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.

Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.

Leo nimemfutilia sana msimamo wake huwa hayumbishi na mtu.

Najua wengi mta toa matusi lakini Paul Makonda ni bonge la kiongozi achilia mbali mapungufu alionayo.

1.Ni kiongozi mbunifu

2.Ni kiongozi mwenye msimamo

3. Ni kiongozi mtendaji anasimamia ubadhilifu

4. Ni kiongozi mchapa kazi, anaweza kuubadilisha mind set za watendaji wa CCM. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.

Soma Pia: Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe
Anakufaa wewe mjinga na wenzako ila Kwa sio Kwa wenye akili
 
Hafai labda uenyekiti wa mtaa wa kolomije
 
Huyu n
Watanzania sijuo aliyeturoga nani...
Kwenye kauli yake amethibitisha kuwa clouds walikuwa wanamtumia kuvunja sheria. Amethibitisha kuwa walipokuwa na shida na TCRA wanampgia yeye.
Sasa hapo kawapa mfano mmoja tu, bila shaka hili analifanya TRA na kwingine akitumiwa na marafiki zake lakini kwa watanzania kuvunja sheria kwa wanasiasa mshaona kawaida.
Tanzania hakuna kiongozi ambaye anachukia ubadhirifu unless haumnufaishi. Ukitaka kujua hili bila shaka akiulizwa mali alizo nazo ndani ya kipindi cha miaka kumi hawezi kukueleza kazitoa wapi maana hata mshahara na marupurupu yake hayatoshi hata kumiliki nusu yake.
Huyu ni angalau anasema ukweli, ni wanaccm wangapi wanafanya kama ambavyo Paul anafanya, ni kwa sb b hasemi, viongozi wengi wanakwepa kodi, Rushwa, matumizi mabaya ya nafasi
 
Hakudhamiria kusema ukweli kausema kwa bahati mbaya na akijua kuwa hata aliowambia hawataelewa na kuona kosa hilo.
 
Ni k

Kweli anamapungu yake, lakini yeye ukilinganisha na vijana wengine wa ccm, yeye angalau anauthubutu wa kufanya mamuzi magumu
 
Kufanya maamuzi magumu ambayo ana maslahi nayo.
profesa Lumumba alisema kweli, kuwa africans tunakuwa obsessed na watu wanaoongea sana tu wanaojua PR.
 
Back
Top Bottom